Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It will take Tanzania 1000,000 years to make a functional rifle[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 1665127
No need for that.

kama tukihitaji ni ndani ya mwezi tu,zinatengenezwa.[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

au unahisi mmefanya jambo la ajabu sana!!!rifles zimekuwepo tokea 1800s huko,sio kenya imezigundua.
 
No need for that.

kama tukihitaji ni ndani ya mwezi tu,zinatengenezwa.[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

au unahisi mmefanya jambo la ajabu sana!!!
Yes ni kitu cha ajabu because Kenya is the first country in East Africa to make her own rifles, alafu hamna uwezo wa kutengeneza hata mshale[emoji23][emoji23][emoji23]

images.jpeg
 
Hivi nyie watu mbona mnakuwa wagumu kuelewa kiasi hicho? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba mna zero understanding ya uhasibu kiasi hicho eee. ATCL is not a "Public Limited Company" hivyo ni ujinga kudai hawajachapisha kwa umma financial statements zao.
Joto la Jiwe ashasema ripoti zao wanapeleka bungeni 😂 😂
 
Yes ni kitu cha ajabu because Kenya is the first country in East Africa to make her own rifles, alafu hamna uwezo wa kutengeneza hata mshale[emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 1665130
[emoji23][emoji23]sasa yanini mkimbilie rifles na unga hamna!!!!

hizo mtauzia nani,na kuna modern zaidi zinazaishwa mbele huko!!!!
 
Hayo yanatengenezwa mtaani huku kwetu [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]

Sasa hizo takataka watu wa Mau Mau walitengeneza 1930's ndio unapiga nazo kelele hapa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yes ni kitu cha ajabu because Kenya is the first country in East Africa to make her own rifles, alafu hamna uwezo wa kutengeneza hata mshale[emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 1665130
Sasa sisi tunaotengeneza vifaru tusemeje sasa? Yaani ku-assemble tu rifle ndio mnaona mmegundua kitu kikubwa sana. Hizo rifle majangili yanazitengeza miaka nenda miaka rudi nyie tu mnaona mmefanya bonge la achievement Kweli akili zenu zimejaa ujinga.
 
You want me to believe a blogger? Who will say anything to get subscribers? Pwahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Screenshot_20210102-021344.jpg
 
Kubali tu kwamba jana wakati iligonga saa sita usiku, nyinyi mlisherehekea mwaka mpya gizani huku sisi tukisherehekea na fireworks. Dar bado mpo stone age maana miji zote kubwa tajika lazima zifanye fireworks display. Yenu iko wapi?
Aliyekwambia lazima ni nani
 
Back
Top Bottom