Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
The kind of infrastructure Kenya's SGR dreams of and will forever dreams of!
Warthog is your new vocabulary,i bet
Hiyo sehemu inakaa zile sehemu za kusubiria daladala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gunia
View attachment 1664488
Hiyo sehemu inakaa zile sehemu za kusubiria daladala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BeautifulKICC[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1664505
Mna tower nzur usiku mchana [emoji23][emoji23][emoji23]Nairobi. The city of lights.View attachment 1664498
Mwaka Huu pia ndege mbili aina ya Airbus zitakujamwaka huu piga hua.. Tanzania inazindua treni ya umeme
wakenya hata mloge vip mwaka huu tunapanda treni ya umeme
happy new year everyone!
Hahahaha, eti double stack wagon ndio mumeona ni kitu cha maana Sana, tumeagiza kama 25 double stack wagons.Ebu tuonyeshe penye mliagiza[emoji23][emoji23][emoji23]. Your SGR will never be double stack.
Mwaka wa funga kazi Huu. ..Hiyo train ya umeme mlianza kuimba venye mtaipanda November 2019, tushafika 2021 bado mnasubiri kuipanda tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania hainaga Maraisi WaleviSisi huwa hatumuabudu rais wetu sana kama nyinyi mnavyomuabudu Magu kana kwamba yeye ni Mungu.
Rais wenu ni miungu wenu. Mnawaabudu.Tanzania hainaga Maraisi Walevi
wowKICC[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1664505
Mpaka hii corona iishe mtakua mmkodisha mpaka Masai Mara[emoji1787][emoji1787]Rais wenu ni miungu wenu. Mnawaabudu.
Ndege ambazo zinawekwa kwenye parking na kupata kutu? Ndege ambazo haziwezi kutoka nje ya Tanzania kwa sababu mkulima anataka kuzikamata?Mwaka Huu pia ndege mbili aina ya Airbus zitakuja
Noma sana hii picha. Picha kama hii Malazy hawawezi kuwa nayo huko Dar. Nice picture Teargass. Thanks for posting.KICC[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1664505
Soko letu la ndani ni kubwa mno,Ndege ambazo zinawekwa kwenye parking na kupata kutu? Ndege ambazo haziwezi kutoka nje ya Tanzania kwa sababu mkulima anataka kuzikamata?