Hakuna kitu ambacho hakina msaada, hata mavi ambayo hatupendi hata kuyaona baada ya kukuja, bado yanatumika kuzalisha mbolea na gesi, ila kwa Kenya Ugatuzi unasababisha hasara zaidi kuliko faida.
Tanzania tunaongoza hapa Africa kwa sasa kwa kujenga miundo mbinu, bila ugatuzi. Ugatuzi unaongeza gharama za kuendesha serikali, unaongeza rushwa, unaongeza ukabila na Nepotism, ni kikwazo kwa umoja wa kitaifa, unasababisha wizi na matumizi mabaya ya pesa za nchi.
Sent from my TECNO-L8 using
JamiiForums mobile app