Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Same as Kenyatta national hospital ambayo licha ya hiyo inatoa financial statements kila mwisho wa mwaka. Viexcuses hamkosangi
Why do think what is done in Kenya is a blueprint for all other countries, why do you want other countries to copy from a country which fails in every sector,?.

Kenya must copy what Tanzania is doing, not other way round because Tanzania is doing better almost in all areas of development.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Msikilize mkenya anaemiliki gari akitoa comparison kati ya ubora wa barabara za Tanzania na Kenya, wewe Mpanda matatu daily hujui Kenya Roads situations sababu you don't own a car na Tanzania hujawahi fika

You want me to believe a blogger? Who will say anything to get subscribers? Pwahahaha
 
Why do think what is done in Kenya is a blueprint for all other countries, why do you want other countries to copy from a country which fails in every sector,?.

Kenya must copy what Tanzania is doing, not other way round because Tanzania is doing better almost in all areas of development.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Yes all areas of development. That's why your electricity connectivity is still at 30%
12572740_screenshot247_png917600ab8427a3787c148b21cf9263da.jpeg
 
Why do think what is done in Kenya is a blueprint for all other countries, why do you want other countries to copy from a country which fails in every sector,?.

Kenya must copy what Tanzania is doing, not other way round because Tanzania is doing better almost in all areas of development.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
That's a general rule in the business world. It's not only limited to Kenya or Tanzania. That's why people spend money learning business courses in colleges. You can't run a company like a mtumba business. Companies are supposed to make public their financial statements and this is the norm all over the world. Anyway, mwenzako alishasema kwamba lengo la ATCL sio kutengeza faida. Eti lengo lake kuu Ni safari za ndani. Hiyo story tumemaliza. Endeleeni kuchapa routes za ndani. It will take you places
 
Hawa watu wanachekesha sana. Wanasema ndege zao sio za biashara and yet they are charging passengers for using the planes
Na huku tunaambiwa kila siku hapa vile KQ is making loses. Hata sisi pia lengo letu sio kutengeneza faida basi 😂 😂
 
sorry, kinachofanana render na ilivyojengwa ni nn? mark that similarity pls
So your focus is just on the render but not the actual thing in the ground? Who told you that renders must be followed to the latter? And what is it's being built in phases?
 
So your focus is just on the render but not the actual thing in the ground? Who told you that renders must be followed to the latter? And what is it's being built in phases?

what purpose of renders then??? ndo mana likoni bridge mlijengewa daraja za kwenye mito (rivers)
 
Shirika zote za Kenya huwa inatoa financial statements. Shida ya watanzania ni ujinga, wanadanganywa kirahisi na serikali yao. This is financial statements za Kenyatta National Hospital

View attachment 1664845
Ninyi hamna akili ndio sababu nchi yenu inafanya vibaya katika kila sector, hizo Financial statement wanazozitoa nani aliyezithibitisha kabla hawajazitoa?, mwenye jukumu la kuzithibitisha ni CAG baada ya kutoa ripoti yake bungeni.

Tofauti ya utendaji wa hizi nchi mbili ndio zinazotifautisha ni nchi gani pesa za serikali zinaibiwa, na ni nchi gani miradi ya serikali inakua ghali kuliko kawaida.

Kenya ni wazi kwamba "Government system is not working ", ndio sababu kila eneo ni 'scandals' za wizi wa pesa za serikali. Jambo la kushangaza ni kwamba bado wakenya wanadhani wanayofanya ni sahihi na huku ambako tumedhibiti wizi na matumizi mabaya ya pesa za umma, wanatuona tunakosea. Wakenya lazima mjifunze toka nchi zinazofanikiwa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Msikilize mkenya anaemiliki gari akitoa comparison kati ya ubora wa barabara za Tanzania na Kenya, wewe Mpanda matatu daily hujui Kenya Roads situations sababu you don't own a car na Tanzania hujawahi fika

Wamsikilize huyo demu kuanzia min 5.29 wasikie jinsi amesifia uzuri wa roads za Tz, wanadhani tuliamka tukazikuta zimeota, guys mpambane na nyie msifiwe yn mtu atoke Kenya lkn beautiful roads and other moment kaziona Tz
 
Back
Top Bottom