The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Nimeisave hii




Nimeisave hii




Hata Millard Ayo ni div 4, lakini ni blogger wa kwanza Afrika kufikisha viewers 1B. Kufaulu mitihani sio kila kitu, hawa wakunya huwa hawana akiliReasoning styles za namna hii ndio huwa hawaamini kwamba una div4![]()




Yani huu ni hatari tupuuMwaka wa funga kazi Huu. ..
joto la jiweMtu wa Div 4 hata hajui mapua yake iko upande gani ya mwili ndio ataweza kufanya analysis iliyonyooka namna hio? Analysis ya namna hio inafanywa na watu walio na akili nyepesi sio watu wenye akili nzito kama ugali. Huyo jamaa sio wa Div 4






Hamna Mtanzania anayenunua kuku sokoni Mjini Dar na kuisafirisha nyumbani ili kuikula wakati wa siku kuu? Au nyinyi huwa hamkuli kuku? Ndio maana narudia tena, Mtanzania akinunua kuku ili asherehekee siku kuu atakatazwa kupanda basi la BRT?Hahahaaaa, unapeleka wapi ss![]()
Devolution inafanya kazi.Kakamega hospitalView attachment 1664565View attachment 1664566
Uganda airline imeanzishwa juzi na tayari iko na more international routes kuliko ATLC (Any Time Cancellation Limited)![]()






Wallahi jamii forums sihamiHamna Mtanzania anayenunua kuku sokoni Mjini Dar na kuisafirisha nyumbani ili kuikula wakati wa siku kuu? Au nyinyi huwa hamkuli kuku? Ndio maana narudia tena, Mtanzania akinunua kuku ili asherehekee siku kuu atakatazwa kupanda basi la BRT?






Alaf inasaidia nn ikishafanya hvo ??? Hvi mbona washamba nyinyi sasa kufanya hvo ndio nn kwamba nyie bora munakunya ice cream😅😅😅 yani munaskitisha kweliGeza wapi majengo yenu yanayotupa fireworks namna hii? Nairobi huwezi kuilinganisha na Dar. Dar mpo nyuma. Nyie ligi yenu Mombasa
View attachment 1664561View attachment 1664562View attachment 1664563
Njoo mumsikilize huyu nyang'au huku. Millard Ayo anatikisa dunia na div 4 yake, vipi unashangaa mambo madogo kama haya?Mtu wa Div 4 hata hajui mapua yake iko upande gani ya mwili ndio ataweza kufanya analysis iliyonyooka namna hio? Analysis ya namna hio inafanywa na watu walio na akili nyepesi sio watu wenye akili nzito kama ugali. Huyo jamaa sio wa Div 4
Look render and real pic alaf tel me sasa 🤣🤣🤣🤣 yani ni mbingu na ardhiKakamega hospitalView attachment 1664565View attachment 1664566
Iyo safijoto la jiwe wewe ndio uliniambia kuwa ugatuzi haujasaidia Kenya kwa njia yoyote ile. Ona hospitali iliyojengwa na gatuzi la kakamega
View attachment 1664575View attachment 1664576
Serikali zikiwekeza sana kwenye miradi kama hii maji umeme na miundombinu ya barabara tunaweza kuchomoka kwenye uchumi wa kati wa chini kwenda ule wajuu mapema tu...hapo maisha yatakua yameboreshwa sana na life expectancy itaongezekajoto la jiwe wewe ndio uliniambia kuwa ugatuzi haujasaidia Kenya kwa njia yoyote ile. Ona hospitali iliyojengwa na gatuzi la kakamega
View attachment 1664575View attachment 1664576