Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,954
- 27,946
Have you ever been to any Gardens, arboretum or park?Beach inazidi utamu bro wacha siasa
Have you ever been to any Gardens, arboretum or park?Beach inazidi utamu bro wacha siasa
Have you ever been to any Gardens, arboretum or park?
Muda wako mwingi utatumia ukiwa unasafiri sio hapo station hv mbona mnaakili ndogo sana nyie?train ndio zinafaa kua nzuri kuliko station sasa nyie mko kinyume chake
Iyo ni murua uku Tz watu wanaflyhigh kule Serengeti na izo ballonHot air ballooning in Nairobi
View attachment 1665023
Arboretum wanaenda kupigana miti tuHave you ever been to any Gardens, arboretum or park?



Post yangu haikuwa inakadili hoja ya financial statements, bali ilikuwa inajibu hoja ya kutokuwa na international destinations nyingi kama nyinyi. Pia maneno "biashara ya usafirishaji" niliyaweka kwenye fungua na funga semi nikidhani utaelewa ila kwa post yako hapo juu inaonesha ni ngumu sana kukuelewesha.Do you know the function of financial statements really? Are you aware that even the non profit organizations usually release their financial statements at the end of the year?
Kenya Navy Seals: This Elite Police Unit is trained in India, Israel, USA for three months each. It was formed recently but has achieved a lot. The guns they are using are made right here in Kenya
View attachment 1664991



what a fool?Berth moja ya Lamu inatoshana na berths mbili zenu.




ubepari mbaya sanaNow tell us why ATCL hawatoi their financial statementsPost yangu haikuwa inakadili hoja ya financial statements, bali ilikuwa inajibu hoja ya kutokuwa na international destinations nyingi kama nyinyi. Pia maneno "biashara ya usafirishaji" niliyaweka kwenye fungua na funga semi nikidhani utaelewa ila kwa post yako hapo juu inaonesha ni ngumu sana kukuelewesha.


Kwani unadhani zimetengenezwa wapi? Ama unadhani Kenya is a lazy country like Tanzania?‘’The guns they’re using are made right here in Kenya’’what a fool?
Leo ndiyo nimejua hawa jamaa wengi ni weupe tu. ATCL siyo PLC hivyo hailazimiki kuweka financial statements zake public. Hakuna kampuni haina financial statements mwisho wa mwaka wake wa fedha. Tofauti ni "publishing".Hyo atcl pia ni shirika la umma![]()
Kwani unadhani zimetengenezwa wapi? Ama unadhani Kenya is a lazy country like Tanzania?
Hivi nyie watu mbona mnakuwa wagumu kuelewa kiasi hicho?Air Tanzania COMPANY ltd. It's only in Tanzania where companies are not obligated to make public their statements.
Okay Mr. Excuses, the last time hizo taarifa ziliwakilishwa bungeni, Air Tanzania ilitengeneza faida ya shilingi ngapi?



Kwamba mna zero understanding ya uhasibu kiasi hicho eee. ATCL is not a "Public Limited Company" hivyo ni ujinga kudai hawajachapisha kwa umma financial statements zao.Kama mpaka sasa hujaelewa, inabidi ukamtafute mwalimu wa uhasibu akufundishe ni kwa nini ATCL hawa-publish financial statements zao ilhali NMB/CRDB hu-publish financial statements zao na wote hao kuna mkono wa serikali.Now tell us why ATCL hawatoi their financial statements![]()