Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka tukuonyeshe siri yetu?[emoji23][emoji23][emoji23]. Do you know why it's called secret project?View attachment 1665286
Na nyie siku hizi mna siri? Kila kitu mmetuwekea humu, unadhani jeshi letu halipo humu? Limeona kila kitu na ndiyo maana hamtawahi kushinda vita mana sifa zinawaponza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jeshi maskini kama ya Tanzania hata ikijua siri ya Kenya yote bado haiezikushinda hata vijana wa NYS[emoji23][emoji23]
Na nyie siku hizi mna siri? Kila kitu mmetuwekea humu, unadhani jeshi letu halipo humu? Limeona kila kitu na ndiyo maana hamtawahi kushinda vita mana sifa zinawaponza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
achana nao.. ndege zao sio siri kuzionyesha ila kiwanda ni siri??? achana nao utapoteza muda bure
Sasa ndege itakuwaje siri wakati it's almost daily to Somalia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
MIradi Ya DMDP Temeke - Dar

Mtoni Kijichi - Dar
Screenshot_2021-01-02 TAMISEMI YA WANANCHI ''TEMEKE INAZIDI KUBADILIKA''.jpg

Screenshot_2021-01-02 TAMISEMI YA WANANCHI ''TEMEKE INAZIDI KUBADILIKA''(1).jpg
 
Leo nakuja kivingine. Sitaki watu walie lie sasa maana huu mchezo hauhitaji hasira
Screenshot_20210102-095427.png

Asante kwa habari kwa 2019[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]
Leo nakuja kivingine. Sitaki watu walie lie sasa maana huu mchezo hauhitaji hasira
View attachment 1665304

Leo nakuja kivingine. Sitaki watu walie lie sasa maana huu mchezo hauhitaji hasira
View attachment 1665304

Ss ngj tuwafundishe commuter rail system jinsi inakaa, wao wamenunua mitumba wanaipitisha kwenye reli ya mkoloni wanaita commuter rail, you Kunyans tunaenda kuwafundisha kwa mara nyingine tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom