tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Jamaa yupo desperate mwache tu. Haamini anachoona si unajua mnyama anapochinjwa akiwa anakata roho huwa anajirusha rusha sana.Wewe hujawahi kurudia picha alafu kwako kila kitu ni agenda?embu badilika bana wewe
Jamaa yupo desperate mwache tu. Haamini anachoona si unajua mnyama anapochinjwa akiwa anakata roho huwa anajirusha rusha sana.
She don't know what to do. Wewe mwache tu sisi tuwe focused akijaribu kupotosha tunaweka taarifa sahihi. Watu wengi wanapitia Uzi huu, wanaona tabia za wakenya.


SawaNaona Sauli kafungua njia, sasa Upcountry buses nyingi zinakuja Scania na Mercedes Benz.."E " Inatafutwa kwa speed mzigo uko DVDView attachment 1662334View attachment 1662336
Evidence ni border ikifungwa chakula na matunda inakua tabu kupatikana kupatikana kenyaShow me any data that says TZ has a higher agricultural output than Kenya. Chakula sio mahindi na mahargwe pekee yake!!! You have been brainwashed to believe that TZ is the garden of Eden yet you have a population of 55 million people with an output of 62 billion USD. So hizo mahindi na maharagwe why are they not translating into money???
Sasa wewe unaonyeshwa sehemu ya makazi wewe bado umekwama tu cbd! Hamna kitu nje ya hiyo cbd yenu? Happy new year
Kenya mnapenda tuvitu flani shoddy kama hutu. Show off kibao ila kwenye mambo ya msingi zero kabisa. Nimesikia mmetumia $480m kujenga 3 berths Lamu! Hiyo ni gharama siye tunatumia kujenga 7 berths pale Dar port.
Don't you know how good they are at excuses?Ethiopia airline is fully owned by the government yet they release their financial statements every year. Kubalini tu kuwa serikali yenu inawachezea![]()
Asante sana kwa hii picha nishaisave kwa matumizi ya baadae, unajua picha zng kali zipo kwenye ile simu iliyoharibika, asante snSo hizo picha mnapost hapa with unmarked roads sio za Tanzania?Ebu nionyeshe marked roads hapa
View attachment 1664648



Ndege zetu siyo kwa ajili ya "biashara ya ndege" kama nyinyi au jirani zenu Ethiopian Airways. Zetu ni kwa ajili ya destinations strategic kwa uchumi wetu tu. Na soon tunakuja na meli za mizigo za ku-play along EA Coast, Lake Victoria, na Lake Tanganyika. Nyasa tayari tunazo 2. Hivi hamshtuki tu nyie watu.So ATCL only have four international routes?![]()






Does Kenyatta hospital exist to make money? Is it a business entity whose primary goal is to make profits? Wewe umechanganyikiwa na ni mwaka mpyaSasa kama ni fully owned, hiyo taarifa wanamtolea nani?, kwanini usiulize Financial statement ya Kenyatta Hospital?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kama kawa ya kwetu itakuwa electric. Dar nzima siyo mitaa miwili mitatu. Ita-cover 266km na feasibility study ishakamilika. Unaambiwa itapita juu mwanzo mpaka mwisho.
Hahahaha, Unaumwa wewe, kwani hawapewi pesa na serikali?, wananchi wanataka kujua matumizi ya kodi zao, kwani mashirika ya umeme na maji primary goal ni kutengeneza PESA?.Does Kenyatta hospital exist to make money? Is it a business entity whose primary goal is to make profits? Wewe umechanganyikiwa na ni mwaka mpya
Sizitaki mbichi hizi 😀Sisi huwa hatumuabudu rais wetu sana kama nyinyi mnavyomuabudu Magu kana kwamba yeye ni Mungu.
Hapa umemuaibisha mkunya mwenzakoDoes Kenyatta hospital exist to make money? Is it a business entity whose primary goal is to make profits? Wewe umechanganyikiwa na ni mwaka mpya



Role model for failed and abandoned projectsThanks for looking up to Kenya as a role model![]()


