joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Lengo lao ni kutaka ikamilike haraka ili waje kupanda Bullet trains, sasa hivi wameshakubali kwamba wao reli yao ni upuuzi mtupu, wameamua kushabikia reli yetu kama ilivyo katika mziki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nawashangaa sana Wakenya, wanalalamika kwamba reli yetu imechukua muda kukamilika wakati yao imeanza kabla yetu na haijaisha mpk leo.