Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

UAP has never disappointed me when it comes to welcoming new years. Happy new year to all Kenyans here and all witches plus warthogs in this thread.
IMG_20210101_011505.jpeg
IMG_20210101_011502.jpeg
IMG_20210101_011459.jpeg
 
Ndiyo huyo huyo atakayefanya muuwane 2022, wait April bullet ifike choko choko zianze ndani ya Kunyaland.

Na tunajuwa nyie ni huwa mnaelewa taratibu mno mpk muone bullet train huku Tz ndo mtagundua kuwa mlipigwa
Natamani na Bwawa la Julius Nyerere likamilike kabla ya june 2022 majirani washuhudie kushushwa kwa bei ya token
 
Niliwaambia waniwekee evidence kwamba bullet train ya ITX ndio inakuja wakanyamaza. Maana hata wao hawajui ni train gani inakuja. Tungi la chang'aa ndilo litashushwa kwenye bandari.
Tony usibadili ID Tafadhali, nimesave hii nije kukukumbusha
 
mwaka huu piga hua.. Tanzania inazindua treni ya umeme

wakenya hata mloge vip mwaka huu tunapanda treni ya umeme

happy new year everyone!

Huu mwaka una mazito sana...almost projects pendwa zinakamilika, Kipande cha Moro-Dar, midege ya Airbus kuletwa, mmeli wa maajabu pale ziwa Victoria, Tanzanite bridge.....embu endeleeni na nyingne wadau
 
Back
Top Bottom