joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ninyi ndio mnawashwa, Geza ameweka taarifa ya Uganda kutengeneza reli ya zamani hadi Kenya, kutokana na wivu ukasema "hiyo inaonyesha jinsi Kisumu port ilivyo muhimu kuzidi Mwanza port", sasa Mwanza imefikaje?Mbona unawashwa na Kisumu port?![]()
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app




