Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya mnapenda tuvitu flani shoddy kama hutu. Show off kibao ila kwenye mambo ya msingi zero kabisa. Nimesikia mmetumia $480m kujenga 3 berths Lamu! Hiyo ni gharama siye tunatumia kujenga 7 berths pale Dar port.
Berth moja ya Lamu inatoshana na berths mbili zenu.
 
1.96b ksh = 18m usd 🤣🤣🤣🤣🤣 acheni tu mchina pepo yake iwe duniani

B452AC9A-DF01-4443-A673-9BC6A0003ECB.jpeg
 
Hahahaha, Unaumwa wewe, kwani hawapewi pesa na serikali?, wananchi wanataka kujua matumizi ya kodi zao, kwani mashirika ya umeme na maji primary goal ni kutengeneza PESA?.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Shirika zote za Kenya huwa inatoa financial statements. Shida ya watanzania ni ujinga, wanadanganywa kirahisi na serikali yao. This is financial statements za Kenyatta National Hospital

IMG_20210101_171740_181.JPG
 
Leta link kua mzigo asilimia 70 unasafirishwa na reli nasubiria 🤣🤣🤣
Nani amesema mizigo asilimia 70 inasafirishwa na reli? Unakuanga mjinga sana. Unaaibisha waarabu wenzako. Mimi nimesema kuwa kwa mizigo zote ambazo zinasafirishwa kwa kutumia SGR, asilimia 70 huishia Nairobi.
 
Hahahaha, Unaumwa wewe, kwani hawapewi pesa na serikali?, wananchi wanataka kujua matumizi ya kodi zao, kwani mashirika ya umeme na maji primary goal ni kutengeneza PESA?.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sasa si unaona vile unajichanganya? Kama unajua kwamba hizo mashirika zinafaa kutoa statements zao Lila mwaka, why are you saying that ATCL is an exemption? That sio lazima itoe statements zake? Wewe unapenda tu ubishi za kijinga
 
Back
Top Bottom