Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geza Ulole nionyeshe picha ya Dar kama hii?
Geza Ulole
2653985_IMG_20210101_091541.jpeg
 
Ndege ambazo zinawekwa kwenye parking na kupata kutu? Ndege ambazo haziwezi kutoka nje ya Tanzania kwa sababu mkulima anataka kuzikamata?
Ndege zetu haziendi S.A. tu
Mumbai,Entebe,Harare,Lusaka,Comoro tunaenda
 
Mr kadogosa has said, Mr kadogosa said...
Yani kasema kutoka mwanzo wa hadi mwisho..
Sijaona oder wala, idadi na make..
Rudi kivingine tena achana na link za watu ambaowao wenyewe wamefanya kunukuu kutoka kw wazee wa majukwaani..
Kwamba leo hutaki kusikia kutoka kwa wanaofanya procurement bali unataka kusikia kutoka wikipedia au sio
 
Back
Top Bottom