Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leo hii ndiyo unaiona kuwa ya uwongo....?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

sasa kwanin ulikuwa unaitumia kipind cha nyuma..?
Nisha save comment yake usijali, cku atajichanganya tu [emoji3][emoji3][emoji204][emoji204]
 
Hili dude wacha tuuuu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Screenshot_20201230-193219.jpg
Screenshot_20201230-193743.jpg
Screenshot_20201230-193823.jpg
Screenshot_20201230-193334.jpg
Screenshot_20201230-193426.jpg
Screenshot_20201230-193315.jpg
 
Serikali yenu ndio inajenga hoteli? What a confused country. Hii nchi yenu bado ni socialist. Mbona huwa mnajiita capitalist country ilhali serikali yenu inajenga mahoteli? Haya ni maajabu ya Musa
komora096 Nicxie
Kwani hujui Tanzania projects zote hufanywa na serikali?
 
Kwani hujui Tanzania projects zote hufanywa na serikali?
Kwasababu ina uwezo huo na ndiyo maana hata inafanya miradi mikubwa kwa pesa ya ndani km unavyoona developed countries, lkn pia inakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi wake unlike ur shit hole country [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Mlikuwa quarantine hamuwezi kwenda sawa na cc, lkn pia Dar port kwa ss ndio kimbilio la wafanyabishara EA so nilitegemea hilo kutokea.
Port haikuwa quarantined. Operations za port na operations za SGR ziliendelea kama kawaida.
 
Kwasababu ina uwezo huo na ndiyo maana hata inafanya miradi mikubwa kwa pesa ya ndani km unavyoona developed countries, lkn pia inakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi wake unlike ur shit hole country [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
pesa za ndani Kutoka uturuki na Standard chartered bank 😂 😂
 
Hahahaaaa kwmb hii imekuja kibahati tu au co, don't leave in denial life changes.View attachment 1663151
Hio award haina uhusiano wowote na number of tonnes zinazopakuliwa. Kumbuka Durban port ndio inayopakua mizigo mengi zaidi hapa Afrika na wao hawakushinda. Halafu hio award ni kuhusu cruise port. Sasa sijui pengine tatizo ni kuwa huelewi maana ya neno cruise port.
 
Watanzania kama mmeanza ku notice ni kwamba wakunya wameshaanza kuiogopa Tanzania, wameanza kudevelop kamsemo kwmb projects zote za Tz zinafanywa na serikali, for that issue it means they have agreed that our Government is strong enough to finance big projects, na kwmb wamekubali hata hii SGR from Dar to Moro has been financed by the mighty GoT(case closed).

Kuhusu serikali ya Tanzania kufanya kila kitu we have nothing to do with that shit because hatujaikataza serikali yao iache kuomba omba na kutia aibu East Africa, cz tunajua ni shida tu ndo zinafanya wajidhalilishe.

So ndugu zangu tuanze kutembea kifua mbele mana hawa monkeys wameshaanza kutuhofia, nenda platforms zote wimbo wao kwa ss ni huu "GoT inafanya kila kitu" as if ni dhambi kufanya hivyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hio award haina uhusiano wowote na number of tonnes zinazopakuliwa. Kumbuka Durban port ndio inayopakua mizigo mengi zaidi hapa Afrika na wao hawakushinda. Halafu hio award ni kuhusu cruise port. Sasa sijui pengine tatizo ni kuwa huelewi maana ya neno cruise port.
Pwahahahaha
Kenya imeshaoza. You are living in the past.
Pwahahahaha
Screenshot_20201230-181848.png
 
Back
Top Bottom