Kwa hivyo kati ya $1.4b na $0.5b nani ametoa nyingi? Alafu kelele za pesa za ndani haziishi humu. Si wewe Ni juzi tu haha ulisema kwamba sgr yenu Ni pesa ya serikali 100%? Iweje leo standard chartered katoa $1.9b?
Secondly both phases are financed by different financial institutions, standard chartered being one of them. Other financers include the Turkish government. Pesa serikali yenu imetoa kwa hiyo project ni kama tone baharini
Firm met technical and financial requirements to clinch deal.
www.google.com