Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Did they list more than 50% of their shares?Fool, those companies are not private but public companies as are listed! endeleza ufala!
Did they list more than 50% of their shares?Fool, those companies are not private but public companies as are listed! endeleza ufala!
Nasema tena dar ipo moja tena ya msaada, unapinga.
Embu niambie ww unae jua sanaUnajua ninachomaanisha. Wacha kujifanya kwamba huelewi. Hizo pension fund za kiserikali sio private sector. Wacheni ujinga. Private sector ni kama Tanzania breweries Ltd au Tigo au Airtel
viva tower,Sky tower,Uhuru height,MNF towers you name it niza shirik gani la serikal?Huu ni utoto sasa. Kama umeshindwa vitu vya maana ni bora ukakaa kimya.Did they list more than 50% of their shares?
Nani amekudanganya kuwa Wakenya hawajengi nyumba zao wenyewe? Tunajengewa na nani? Serikali? Wacha ujinga.Kijana nimekwambia acha ujinga
Tanzania ni kubwa mno na imeizidi kenye bali mno kwenye masuala ya policy.
Nakuomba ujifunze na usome masuala ya international economy.
Pili Tanzania tumepitia katika hatua zote za uchumi. Hayo unayoyasema tumeshayafanya yakatuletea hasara nyingi tu.
Miaka ya 1995 hadi 2005 tulikuwa na sera za privatization zilifanya taifa letu lirudi nyuma na kuwa ombaomba.
Sasa hivi miradi yote ya kimkakati, lazima isimamiwe na umma.
Mambo ya majengo ni issue ndogo sana kijana. Taifa linalojitambua haliwezi kujilingishia majengo.
Sera za Tanzania zipo wazi sana kwamba hakuna limitation ya kujenga. Ndio maana sisi watanzania nyumba nyingi za makazi wamejenga watu binafsi. Tofauti kabisa na kwenu mkenya binafsi hawezi kujenga nyumba yake mwenyewe.
Unatakiwa ukubali siyo ubishani wa kijinga.
Hapa Tanzania kuna China Plaza, CRDB Tower, NMB Tower, Umoja wa Vijana nk. Sasa sikuelewi kinachokuuma ni nini!?
Kawaulize WHO, watakusaidia jibu






Ninyi mumeachia Private sector kufanya kila kitu, unaona matokeo yake?, serikali yenu imefilisika inategemea kukopa toka kwa matajiri, sisi serikali yetu inawekeza katika miradi mbalbali ndio sababu serikali yetu inaweza kujiendesha bila kutegemea mikopo kwa kiasi kikubwa.Serikali haistahili kufanya biashara sana. Biashara wachieni private sector.
Sasa hebu tuoneshe nyumba za watu binafsi tulinganishe na bongo. Pwahahaha. Zaidi sana ni wazungu wanawajengea.Nani amekudanganya kuwa Wakenya hawajengi nyumba zao wenyewe? Tunajengewa na nani? Serikali? Wacha ujinga.
Ona uyu nae kakurupuk n darasa anaita airport ...kunya kuna ufalamang sanaHii ni picha za zamani sana. Najua ulitaka kuwachekesha Watanzania wenzako. Lakini Lodwar airport ya sasa ndio hii hapa
View attachment 1662720





Nyumba za makazi asilimia tisini na tisa (99%) hapa Kenya zimejengwa na watu binafsi au kampuni za kibinafsi. Hazijajengwa na serikali.Sasa hebu tuoneshe nyumba za watu binafsi tulinganishe na bongo. Pwahahaha. Zaidi sana ni wazungu wanawajengea.
AIRTEL ni serikali 49%Unajua ninachomaanisha. Wacha kujifanya kwamba huelewi. Hizo pension fund za kiserikali sio private sector. Wacheni ujinga. Private sector ni kama Tanzania breweries Ltd au Tigo au Airtel
Nimekuambia ulete proof. Stupid, kibera slums ndio nyumba za watu binafsi, you fool!!?Nyumba za makazi asilimia tisini na tisa (99%) hapa Kenya zimejengwa na watu binafsi. Hazijajengwa na serikali.
Kama ungekuwa umesoma somo la biashara kidogo ungefahamu kuwa anayemiliki kampuni kwa zaidi ya 50% ndiye anayecontrol kampuni hiyo. Kwa hivyo airtel bado ni private.AIRTEL ni serikali 49%
anachanganya public and private companies! Sijui hili ni mbwigambwiga la wapi!?AIRTEL ni serikali 49%
Kwa hivyo unataka proof gani za umiliki. Mjinga wewe. Unadhani mimi nafanya kazi ndani ya wizara ya ardhi ili nikuletee title deed za mashamba zote Kenya? Ama unataka nikuletee ushaidi upi? Picha? Maana picha sio ushahidi.Nimekuambia ulete proof. Stupid, kibera slums ndio nyumba za watu binafsi, you fool!!?
Ipige mbali hivyohvyo mama nimatofali mepanga mnaita flyover.....kiukwel unatusingizia hatun kitu kama icho kabisaaaaNasema tena dar ipo moja tena ya msaada, unapinga.View attachment 1662725




....Utaweza hii league kweliSasa hebu tuoneshe nyumba za watu binafsi tulinganishe na bongo. Pwahahaha. Zaidi sana ni wazungu wanawajengea.
Wewe ni mpumbavu. Hujui chochote.Kama ungekuwa umesoma somo la biashara kidogo ungefahamu kuwa anayemiliki kampuni kwa zaidi ya 50% ndiye anayecontrol kampuni hiyo. Kwa hivyo airtel bado ni private.
Wewe unachanganya publicly listed companies na government owned companies. Airtel ni publicly-listed but the public owns less than 50% of the shares kwa hivyo private investors bado wanamiliki more than 50% of the shares na wao ndio wanaocontrol the company.anachanganya public and private companies! Sijui hili ni mbwigambwiga la wapi!?
Serikali ndio yenye share Kubwa AIRTEL,Kama ungekuwa umesoma somo la biashara kidogo ungefahamu kuwa anayemiliki kampuni kwa zaidi ya 50% ndiye anayecontrol kampuni hiyo. Kwa hivyo airtel bado ni private.