Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don't even dream about it the only close competition Kenya has in terms of flower production in Africa is Ethiopia and is a distant second
Kijana tatizo lako hujui. Hebu tuanze na maua haya kwanza. Tuone unasemaje. Kama unabisha nitakupa taarifa zingine detailed
WMSofPyrethrum2017.png
 
Mention which theory is this in any book of trade and Economics?., that is what is known as "Principle of unfair market protection", Kumbuka Uganda ndio soko kubwa la bidhaa zenu, wakiamua kujibu mapigo mtaumia zaidi ya Uganda.
They are free to do it what are they waiting for
And I think Pakistan overtook Uganda to become Kenya's largest trade partner
 
Tanzania na Nigeria zimehamisha capital city kutoka ufuoni mwa bahari hadi kati kati mwa nchi. Sisi hio tulishafanya zamani. Mabeberu walishahamisha capital city kutoka Mombasa hadi Nairobi hata kabla ya mwaka wa 1920. Nairobi iko katikati mwa Kenya kwa hivyo hakuna haja ya kuhama.
Acha uongo wewe, mpaka mpaka 1964, mombasa haikua sehemu ya Kenya. Kwani unafikiri hatujui kama mmewadhulumu wazanzibari! ? Acha kuongea porojo. Nairobi has been kilakitu kwa Kenya since day one. Hakuna kuamisha wala nini.
 
Saa hii bado ni debatable. Mkimaliza ujenzi basi hakutakuwa na debate. Mtakuwa na airports modern kutushinda ila airports zetu bado zitakuwa na pax ya juu kushinda zenu. Hamuwezi kutushinda katika idadi ya abiria wa ndege wanaotumia airport zetu.

Huku Chato, uwanja wa Geita International Airport ujenzi wa jengo la abiria umeanza rasmi!
Eo8QSDXU0AExql7
 
They are free to do it what are they waiting for
And I think Pakistan overtook Uganda to become Kenya's largest trade partner
That means milk industry in Kenya can't compete with Uganda fairly without your government intervention?, this is an indication that Kenya Economy is on its down turn.

Initially you used to claim that Kenya businessmen are the most competitive in the region, what has happened?
 
That means milk industry in Kenya can't compete with Uganda fairly without your government intervention?, this is an indication that Kenya Economy is on its down turn.

Initially you used to claim that Kenya businessmen are the most competitive in the region, what has happened?
Ooh you wish Kenya to be on a down turn iam sorry but it won't happen
We are competitive given the right environment
 
Huyo nae anaongea nn wakati vyakula wananua Tz ,mchele mahindi maharage at yeye hua anakula vitu gani uko kenya?Huyo nae anaongea nn wakati vyakula wananunua Tz ,mchele mahindi maharage au yeye hua anakula vitu gani uko kenya?
Katika nchi tunazoagiza vyakula top 5 hampo, sasa sijui unajishaua nn
 
We don't money, why are you dying of hunger yearly?, why do you receive food aid yearly if you have money?. Apart from flowers and tea, which other Agricultural produce does Kenya beats Tanzania?
Mwaka huu wamekufa wangapi
 
Back
Top Bottom