Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,731
- 107,175
Nimemwambia Ali Kiba anaweza ajiri Jeff Koinange anytime! Akabisha, eti anadai Jeff Koinange ana mashamba ya urithi!Tatizo exposure yani akisikia mtu anafanya kazi kwenye shirika kubwa wanapagawa. Hapo hujatoa tax na makato mengine kibao.. tuwaheshimu sana watu wa sector ya sanaa na burudani zaidi ya hapo ni wafanyabiashara wakubwa ndo wakuwaogopa ila sio mtu ameajiriwa na shirika gani sijui nonsense kabisa ..