Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ikulu bado inajengwa hiyo ilijengwa kama temporary yakuhakikisha presidaa anapokuwa ndani ya capital city awe na ofisi.....

super ipo kwenye ujenzi na itakuwa kubwa balaa kazi ipp kwenye mikono salama chini ya jeshi
Hata ikulu yenu ya Dar ina muonekano nzuri kushinda hili dude. Lakini kama ni temporary basi hakuna shida. Rais akishahama basi mtumie hili dude kufugia kuku
 
Hta km hyo itakua ndio ofisi yake bado sana kihadhi namuinekano sijui mambo mengine
 
Hata ikulu yenu ya Dar ina muonekano nzuri kushinda hili dude. Lakini kama ni temporary basi hakuna shida. Rais akishahama basi mtumie hili dude kufugia kuku
Bwahahahaa!!mbona umewapiga hku unasingizia busara
 
Hata ikulu yenu ya Dar ina muonekano mzuri kushinda hili dude
ujenzi wa ikulu haujaishia hapo chief,ikulu bado inajengwa......
hiyo ni maalum endapo presidaa anapofika dodoma awe na ofisi ila ikulu kuu yenyewe bado haijakamilika ipo kwenye ujenzi
 
Tumewashinda kwenye sekta karibu zote. Kwa hivyo nawaonea huruma naamua kuwapa sekta moja au mbili maana najua tunawapiga kwenye sekta zingine zote.
Hii comment yako nakwambia ishaleta balaa, ngoja wanenguaji waje kw mbwembwe kujitoa ufahamu
 
Hta km hyo itakua ndio ofisi yake bado sana kihadhi namuinekano sijui mambo mengine
usilichukulie poa....hilo jengo...kiusalama halipo kama jinsi ulionavyo

ngoja jengo husika likamilike utaona mabadiliko kwa sasa kuwa mpole
 
Mimi naongelea saa hii kuanzia JNIA, AAKIA, KIA, Bukoba, Songwe na Mwanza Airport with its cargo terminal! Mind u several airports r going expansion!
Saa hii bado ni debatable. Mkimaliza ujenzi basi hakutakuwa na debate. Mtakuwa na airports modern kutushinda ila airports zetu bado zitakuwa na pax ya juu kushinda zenu. Hamuwezi kutushinda katika idadi ya abiria wa ndege wanaotumia airport zetu.
 
Wacha wivu wa kisenge ikulu yenu ya mkoloni iwapi? Miaka 57 ya Uhuru bado mnatumia jengo la mkoloni!
Unafikirua ikulu ni km guest unajeuza jeuza kizembe, mle wazee wa kazi ndio wanajua nyanja zote na jinsi ya kuiendesha
 
Kwa hivyo unajitia hamnazo? Nimekuwekea picha za ujenzi wa foundation halafu unasema kuwa hakuna progress?
Sio hamnazo sasa unakataa kwamba ujenzi haukuanza 2016 au nikupe ushahidi sahii🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom