Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,702
- 107,146
Point of correction miaka zaidi ya 57!Si bora sisi tumechukua miaka 30 kuhamia makao makuu inamaanisha ahadi tunatimiza lkn nyinyi imewachukua takribani miaka 37 mpk leo bado mnatumia jengo la mkoloni km ikulu ya nchi alaf mnasema mnataka maendeleo, maendeleo gn wakati hao mnaotegemea wakupeni maendeleo wanajua siri zenu za ndani zote.