Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Equity bank ,kcb you have heard of those two for beginners
I have never heard of Tanzanian banks in Kenya
Nikusaidie anayemilk hiyo bank.
Screenshot_20201227-141724.png
 
Equity bank ,kcb you have heard of those two for beginners
I have never heard of Tanzanian banks in Kenya
Sisi kuleta benki zetu huko kwenu ni sawa na kuhifadhi nyama kwenye friji mbovu, itaoza. Uchumi wenu yes ni mkubwa kidogo kwetu ila umeegeshwa kwenye msingi mbovu wa barafu. Risk of default kwa uchumi wenu ni kubwa sana. Ndiyo sababu pia serikali yenu haiwezi kufanya kitu chochote cha maana bila msaada kutoka kwa mabeberu.
 
Back
Top Bottom