I think tatizo hapa naongea na watu ambao sanaa kwao ni rubbish ndio mana hamna hata msanii mmja alie fanikiwa kwa muziki.
Muziki ni sector ambayo ukiwa kweny peek income yake haiwezi kufanana na mtu aloajiriwa katika sector za kawaida,
Samata yuko europe anacheza lakini hawezi kumfikia diamond kwa pesa do you know why??
Usifanye kama uyo koinage ni wa kwanza kuajiriwa uko sijui CNN. Do you think wafanyakazi wote wa CNN they are rich more than artists like Alikiba and Diamond.
My friend your deceiving yourself Diamond anapesa mara kumi au hata zaidi ya mara 10 kuliko huyo koinage Alikiba anaweza akawa mara 4 au 5 zaidi yake.
Top 10 Richest Musicians in Tanzania - ABTC
Angalia hii mishahara ya cNN afu nambie iyo pesa wanayotengeneza kwa mwaka kuna wakati diamond na Alikiba wanaiingiza kwa show hapo hujaweka na biashara nyingine.
View attachment 1660262