Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

131077482_3437746466352961_5115627310871782004_n.jpg
 
Ila hapa mchina amewaokoa sana lasivo mlikua munadondokea pua 🤣🤣🤣
Hahaha mchina kaamua kujenga majumba zaidi ya sita kwa mpigo. Usichezee mchina wewe. Yaani wakati wa ujenzi kulikuwa na cranes zaidi ya sita katika project moja.
 
Hili nalo ni jitu la 44 floors ambalo limeanza kuamka. Linaitwa 88 tower. Litakuwa the second tallest residential tower in Africa. Itakuwa one of the tallest buildings in East and Central Africa. Watu wataishi hadi kwenye floor ya juu kabisa ya 44 ambapo wataweza kuona mount Kilimanjaro kutoka Nairobi.

images (3).jpeg


Kabla hamjaanza kulia kwamba nawapa renders basi ndio hizi picha zenyewe. Ujenzi wa foundation umeanza rasmi na nitakuwa nawapa updates.


7736BEBD-CF16-41FD-A079-04EB30313F34.jpeg
BFE6BCCF-2265-474E-9128-EC0ABF45E21C (1).jpeg

0A56B24C-10FE-47D2-8F00-6B704FC5097B (2).jpeg



DC32435A-A2FD-4755-93E0-DB9E46D65A16.jpeg
D283D24D-51F4-4DDB-8F15-FC06D85E933A (1).jpeg
 
Back
Top Bottom