Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua Kuna watu Wapuuzi na Wajinga
Yaani Leo hii kuna mtu anajisifia 4G kweli
Au Wif
Nijisifu kuwa na 4G!!
View attachment 1659796
Nani anajisifu 4G🤣🤣🤣🤣
1D18AE67-ED1C-4A1B-836C-9897638B05C0.png
 
Navy Kenzo wanachanganya ndimi. Hawaimbi kingereza tu. Lazima waimbe kiswahili japo kidogo tu ili malazy wawaelewe. Lakini wanaimba kiingereza kwa sababu ya market ya SA. Vanessa anaimba kingereza kwa sababu ya market ya Kenya. Lakini hata yeye pia anaimba kwa lugha zote mbili.
Ni kitu gani kinachokufanya udhani kuwa wasanii wetu kuchanganya kiingereza kwenye mashairi yao ni lengo la kufikia wakenya na Waafrika kusini? Ni nyinyi tu Ndio mnajua kiingereza dunia nzima? Our artists’ works reach people all over the globe! Hata nyimbo za Kiswahili zinapendwa na watu ambao hawaelewi lugha ya Kiswahili! Ndio Maana nasema kipaji ni kipaji! Achana na burudani ya Tanzania...shughulikia muziki wenu mbovu!
 
yule mtu nilitaka ikifika usiku atume tena vile vitu.. nikaona ninyamaze tu! eti ana wifi yake .. akija mwambie afungue sehem ya wifi afu akuonyeshe jina la device ya wifi
Router sio pesa nyingi ng'ombe wewe. Ukiwa na Ksh 6,000 yako unanunua router. Nyie ni washamba sana. Kwani unadhani kuwa na wi-fi kwa nyumba ni big deal? Watu wengi wanazo ndani ya nyumba na sio issue. Kenya sio Tanzania ambapo wi-fi mnaipata tu kwenye govt offices au University hostel. Hapa Kenya hata watu wa kawaida wana routers za wi-fi. Toeni ushamba hapa.
 
Ni kitu gani kinachokufanya udhani kuwa wasanii wetu kuchanganya kiingereza kwenye mashairi yao ni lengo la kufikia wakenya na Waafrika kusini? Ni nyinyi tu Ndio mnajua kiingereza dunia nzima? Our artists’ works reach people all over the globe! Hata nyimbo za Kiswahili zinapendwa na watu ambao hawaelewi lugha ya Kiswahili! Ndio Maana nasema kipaji ni kipaji! Achana na burudani ya Tanzania...shughulikia muziki wenu mbovu!
Ni sawa. Wanaimba kwa kiingereza ili kutarget watu wa nchi nyingine ila sio Watanzania maana nyie hamuelewi kiingereza hata kidogo. Halafu nyimbo za Diamond na Kondeboy zinapendwa hata na watu wasioelewa kiswahili kwa sababu ya dancing nzuri iliyopo kwenye nyimbo hizo.
 
Router sio pesa nyingi ng'ombe wewe. Ukiwa na Ksh 6,000 yako unanunua router. Nyie ni washamba sana. Kwani unadhani kuwa na wi-fi kwa nyumba ni big deal? Watu wengi wanazo ndani ya nyumba na sio issue. Kenya sio Tanzania ambapo wi-fi mnaipata tu kwenye govt offices au University hostel. Hapa Kenya hata watu wa kawaida wana routers za wi-fi. Toeni ushamba hapa.
wepi hao nchi ya wapanda punda?
 
wepi hao nchi ya wapanda punda?
Nimekuja kugundua kuwa wengi wenu hata hamuwezi kuimagine kuwa na wi-fi ndani ya nyumba. Kwani kuwa na wi-fi kwa nyumba ni jambo kubwa sana kwenu? Hamna liquid telecom au zuku huko? Wacheni ushamba jameni. Nunueni routers muwache kutumia bundles za kupimiwa kama dawa
 
Ni sawa. Wanaimba kwa kiingereza ili kutarget watu wa nchi nyingine ila sio Watanzania maana nyie hamuelewi kiingereza hata kidogo. Halafu nyimbo za Diamond na Kondeboy zinapendwa hata na watu wasioelewa kiswahili kwa sababu ya dancing nzuri iliyopo kwenye nyimbo hizo.
Tanzania nzima hakuna mtu anaeelewa kiingereza hata kidogo? Ndivyo unavyosema sio? 😂😂😂 Mbona wasanii wa Kenya nao huimba kwa Kiswahili? Unataka kuniambia wanaimba kulenga soko la Tanzania zaidi ya nchi yao wenyewe?
 
Back
Top Bottom