Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

Tony254 wasafirishaji kwa kupitia Punda (usafiri wa karne ya Yesu) wanapigana na bodaboda!

Ni lazima tulinde tamaduni zetu. Hao watu wa pikipiki waendeshe vidude vyao kwa speed ya 20 km/h la sivyo pikipiki iwe banned kwa sababu streets ni narrow sana. Punda imetumika huko kwa miaka zaidi ya 1,000 na bado maisha inaendelea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi capitalists Nigeria na Kenya tunakimbiza opportunity mahali popote ilipo. Nyie socialists on the other hand mnakaa juu ya mawe na kupiga soga bila kufanya kazi na kutaka kupata success kama sisi.
Hivi wakisema capitalists wapite mbele,kenya nanyi mtapita????!!🤣

Waafrika matatizo yetu yanaanzia mbali sana!
 
Mimi sina matatizo ya communication kama wewe. Mimi sio wa kuchezea hata kidogo. Mimi sio wale masikini wa Tandale unapoishi wewe. Mimi nina smart-phone ya 4G na pia nina Wi-fi kwa nyumba yangu.
Wacha nikupe evidence
View attachment 1659396
Kama uonavyo hapo juu kwa screen shot ya simu yangu, on the right side inasoma 4G. Na inasoma time ni 12:04.

Halafu muda huo huo nikazima 4G na kuwasha Wi-fi. Hebu tazama hapa chini kwenye screen yangu upande wa kulia utaona symbol ya wifi kumaanisha kwamba nimewasha wi-fi muda huo huo wa 12:04.
View attachment 1659399

Wi-fi yangu natumia kampuni ya internet provider inayoitwa liquid telecom na telecommunication provider wa 4G natumia Safaricom. Sasa endelea kusema kwamba niko juu ya mti nikitafuta network. Sio kila Mkenya wa kuchezea
Sasa hapo kipi cha ajabu!!..huku bongo hizo 4G zimetapakaa kama uchafu zinamilikiwa hadi na wahuni tu wa mtaani,hakuna ajabu hapo
 
Jiji kama Jiji Dar Es Salaam

Screenshot_20201226-202105_1609003310226_1609003419865.jpg
Screenshot_20201226-202105_1609003310226.jpg
 
Ataliteka soko la Bongo na KIngereza? Huyu ni wazimu. Watu ambao wanakiogopa Kiingereza watamuelewa huyu mwanadada kweli?
Mbona kuna nyimbo nyingi sana za Bongo flavor zilizochanganywa na Kiingereza? Sikiliza nyimbo za Navy Kenzo, Rosa Ree na Vanessa Mdee then utaelewa! Vipaji ni vipaji tu, kama Kenya hakuna kaa kimya!
 
Your problem ni kwamba private sector is dead ,hapa unatafuta excuse maana ujenzi wa magorofa huko kwenu mnategemea public sector
Kwani Kenya na Nairobi in perticular umekuta hawajengi barabara? Barabara zinajengwa tena classic kuliko zenu na magorofa ya kutetemesha Africa yanasimamishwa daily
Tukiwaambia muache ujamaa unawafanya kuwa wavivu na maskini mnabisha,yakowapi sasa
Cha kushangaza kenya na tanzania are among countries with extreme poverty-WB
 
Mbona kuna nyimbo nyingi sana za Bongo flavor zilizochanganywa na Kiingereza? Sikiliza nyimbo za Navy Kenzo, Rosa Ree na Vanessa Mdee then utaelewa! Vipaji ni vipaji tu, kama Kenya hakuna kaa kimya!
Navy Kenzo wanachanganya ndimi. Hawaimbi kingereza tu. Lazima waimbe kiswahili japo kidogo tu ili malazy wawaelewe. Lakini wanaimba kiingereza kwa sababu ya market ya SA. Vanessa anaimba kingereza kwa sababu ya market ya Kenya. Lakini hata yeye pia anaimba kwa lugha zote mbili.
 
Sasa hapo kipi cha ajabu!!..huku bongo hizo 4G zimetapakaa kama uchafu zinamilikiwa hadi na wahuni tu wa mtaani,hakuna ajabu hapo
Ongea kuhusu wewe. Sio watu wengine. Leta screen shot au ukae kimya. Na uwache ujinga.
 
Unajua Kuna watu Wapuuzi na Wajinga
Yaani Leo hii kuna mtu anajisifia 4G kweli
Au Wif
Nijisifu kuwa na 4G!!
View attachment 1659796

yule mtu nilitaka ikifika usiku atume tena vile vitu.. nikaona ninyamaze tu! eti ana wifi yake [emoji23][emoji23].. akija mwambie afungue sehem ya wifi afu akuonyeshe jina la device ya wifi
 
Ataliteka soko la Bongo na KIngereza? Huyu ni wazimu. Watu ambao wanakiogopa Kiingereza watamuelewa huyu mwanadada kweli?
why not? Wasafi ina project US na binti kama huyu anafaa! nyie wa Kiingereza lini mlitoboa soko la nyimbo za ung'eng'e?

Yaani mna ufala mwingi mara mdai ohoo hatujui Kiswahili sasa nyimbo za Kiingereza mpo wapi?

As far as i know nyimbo mnazotamba nazo ni zile za kilugha kama Omhlanga ambapo hakuna ushindani! Full lugha za kikabila!
 
Back
Top Bottom