Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikulu ndogo jijini dodoma
7576B20D-2EF2-4886-99FD-9F03EE753578.jpeg
 
Navy Kenzo wanachanganya ndimi. Hawaimbi kingereza tu. Lazima waimbe kiswahili japo kidogo tu ili malazy wawaelewe. Lakini wanaimba kiingereza kwa sababu ya market ya SA. Vanessa anaimba kingereza kwa sababu ya market ya Kenya. Lakini hata yeye pia anaimba kwa lugha zote mbili.
TONY254 NEWZ
kwa hiyo ndugu mwandishi wa habari,,kulingana na interview uliyomfanyia vanessa jana akakuambia kuwa anaimba kwa english language kwa sababu ya soko la kenya..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

asante ndugu mwandishi kwa taarifa
 
yule mtu nilitaka ikifika usiku atume tena vile vitu.. nikaona ninyamaze tu! eti ana wifi yake [emoji23][emoji23].. akija mwambie afungue sehem ya wifi afu akuonyeshe jina la device ya wifi
Usiku umefika. Haya ndio hio nimetuma tena. Nikisema niko nayo kwa nyumba namaanisha. Ulisema nitume usiku maana ulidhani mchana nilikuwa natumia ya wenyewe. Saa hii ni saa sita usiku. Natumia wi-fi ya nani?

Screenshot_20201226-235356.jpg


Natumai unaweza kuona symbol kama hii kwenye screen

unnamed.png
 
Wewe hata nashangaa mbona huna 5G. Wewe una pesa sana. Lakini pengine ni kwa sababu wewe ni muarabu. Lakini kama ungekuwa muafrika basi ungekuwa unaishi Tandale.
siku hizi naona umeanza kuwa kichaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usiku umefika. Haya ndio hio nimetuma tena. Nikisema niko nayo kwa nyumba namaanisha. Ulisema nitume usiku maana ulidhani mchana nilikuwa natumia ya wenyewe. Saa hii ni saa sita usiku. Natumia wi-fi ya nani?

View attachment 1659853

Natumai unaweza kuona symbol kama hii kwenye screen

View attachment 1659856
acha ushamba.....
unatuletea stor simple za kitoto

acha hizo habari router ni vitu vya kawaida sana
 
Back
Top Bottom