Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakubaliana na wewe. G wagon ni ksh15 million kwa factory. Uje nayo Afrika ulipe tax ya 40% au nchi zingine hata 100% bei tayari imeshafika ksh 20 million au zaidi.
Hao jamaa wanamchezo sana, magari mengine watu wanayaepuka kisa ukishalinunua ni balaa kwenda..
Yani yataka moyo
 
The 3.2 km JPM bridge bttn Kigongo and Busisi
7VLPCIm.jpg


COEPt0O.jpg
 
Wewe kasome historia ya Jeff Koinange. Kafanya hata na CNN ikiwemo ABC ya America na reuters. Wacha madharau mzee. Huyo sio radio presenter kama wengine. Huyo amepiga pesa ndefu sana. Halafu anatoka kwa Koinange family. One of the dynasty families in Kenya. Chief Mbiu Koinange alikuwa mtu mkubwa sana siku za zamani na alimiki shamba kubwa sana.
pesa yote ya Jeff anatengeneza kwa show5 tuu#fact
 
and yet hana hata radio station pumbavu wewe! Diamond au Ali Kiba anaajiri Jeff Koinange!
Wacha ujinga. Jeff ni dollar millionaire. Hao fukara wenu hawawezi hata kumnunulia lunch. Jeff comes from a dynasty family. Kiba and Diamond come from slums. Halafu jeff amepiga pesa ndefu huko America kwa zaidi ya miaka ishirini ikiwemo CNN. Unadhani CNN wanalipa watu pesa ya kununua mandazi? Akili kichwani

 
Wacha ujinga. Jeff ni dollar millionaire. Hao fukara wenu hawawezi hata kumnunulia lunch. Jeff comes from a dynasty family. Kiba and Diamond come from slums. Halafu jeff amepiga pesa ndefu huko America kwa zaidi ya miaka ishirini ikiwemo CNN. Unadhani CNN wanalipa watu pesa ya kununua mandazi? Akili kichwani

Hata diamond ni $ millionaire suala la alikotoka halina maana yyte...
 
Mimi sina matatizo ya communication kama wewe. Mimi sio wa kuchezea hata kidogo. Mimi sio wale masikini wa Tandale unapoishi wewe. Mimi nina smart-phone ya 4G na pia nina Wi-fi kwa nyumba yangu.
Wacha nikupe evidence
View attachment 1659396
Kama uonavyo hapo juu kwa screen shot ya simu yangu, on the right side inasoma 4G. Na inasoma time ni 12:04.

Halafu muda huo huo nikazima 4G na kuwasha Wi-fi. Hebu tazama hapa chini kwenye screen yangu upande wa kulia utaona symbol ya wifi kumaanisha kwamba nimewasha wi-fi muda huo huo wa 12:04.
View attachment 1659399

Wi-fi yangu natumia kampuni ya internet provider inayoitwa liquid telecom na telecommunication provider wa 4G natumia Safaricom. Sasa endelea kusema kwamba niko juu ya mti nikitafuta network. Sio kila Mkenya wa kuchezea
Ubepari buana. Kwa hiyo ukiwa na 4G na hiyo WI-FI ndiyo uje utuoneshe hapa! Nuie watu hamuishiwi vituko. Ubepari umezama mpaka kwenye damu.
 
Back
Top Bottom