Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Garage ya Ali Kiba ina gari kali kuliko ya huyo Mkikuyu wa mashamba ya kurithi!
Mzee mada km hizi achana nazo, unajoshusha bure..

Sasa km mtu gari moja limemgharaimu takriban ksh 20m mpka limfikie alafu we unakuja kuandika sijui nini hapa
 
Mimi sina matatizo ya communication kama wewe. Mimi sio wa kuchezea hata kidogo. Mimi sio wale masikini wa Tandale unapoishi wewe. Mimi nina smart-phone ya 4G na pia nina Wi-fi kwa nyumba yangu.
Wacha nikupe evidence
View attachment 1659396
Kama uonavyo hapo juu kwa screen shot ya simu yangu, on the right side inasoma 4G. Na inasoma time ni 12:04.

Halafu muda huo huo nikazima 4G na kuwasha Wi-fi. Hebu tazama hapa chini kwenye screen yangu upande wa kulia utaona symbol ya wifi kumaanisha kwamba nimewasha wi-fi muda huo huo wa 12:04.
View attachment 1659399

Wi-fi yangu natumia kampuni ya internet provider inayoitwa liquid telecom na telecommunication provider wa 4G natumia Safaricom. Sasa endelea kusema kwamba niko juu ya mti nikitafuta network. Sio kila Mkenya wa kuchezea
Hahaha!!achana nae mzee wa bando huyo
 
Ata main structure haitazidi 5 m high🤣🤣
hatulipui sisi main structure will allow wagon ferries n big ships to pass underneath and dock at either Kigongo or Busisi! The EA longest 6 lanes 3.4 km bridge!

131686679_676622669666913_4149905783071113665_o.jpg
 
Hata huko Marekani polisi huwa wale wanafunzi walioanguka mtihani. Halafu wanapewa training ya miezi tatu na kupewa bunduki. Halafu bado tunashangaa mbona polisi huko wanauwa watu kiholela. Kwa maoni yangu polisi anastahili kuwa mtu aliyepita mtihani wa kidato cha nne. Mtu aliye smart kichwani. Sio hawa watu waliobeba ugali kama ubongo kichwani. Halafu training iwe ya mwaka moja sio miezi tatu au sita. Halafu wapewe training ya sheria. Polisi wengi sana hawajui sheria.
Wazo zuri sana. Mimi hudhani askari polisi anapaswa kupewa mafunzo ya muda mrefu (miaka mitatu) huku akipata mafunzo yafuatayo ambayo ni lazima afuzu;

1. Ukakamavu/military/medani

2. Kozi za msingi za sheria

3. Haki za binadamu

4. Mahusiano ya jamii

Vinginevyo tutaendelea kupokea vipigo kutoka kwa hawa watu.
 
Ubepari buana. Kwa hiyo ukiwa na 4G na hiyo WI-FI ndiyo uje utuoneshe hapa! Nuie watu hamuishiwi vituko. Ubepari umezama mpaka kwenye damu.
Huyo jamaa alikuwa anasema eti mimi napanda juu ya miti kutafuta network sasa ikabidi nimuonyeshe kuwa nina vidude ambavyo yeye hana.
 
Mzee mada km hizi achana nazo, unajoshusha bure..

Sasa km mtu gari moja limemgharaimu takriban ksh 20m mpka limfikie alafu we unakuja kuandika sijui nini hapa
Ww ndio fala wa mwisho kabisa, ss Tshs 400 milioni we ndo unaona mpunga mrefu kutumia kwa gari au sio? Kweli Tanzania watu wanapesa aisee mana hyo pesa iliyomstua huyu dada wa kijaluo huku kwetu ni pesa ndogo tu kuspend kwa gari.
 
Ww ndio fala wa mwisho kabisa, ss Tshs 400 milioni we ndo unaona mpunga mrefu kutumia kwa gari au sio? Kweli Tanzania watu wanapesa aisee mana hyo pesa iliyomstua huyu dada wa kijaluo huku kwetu ni pesa ndogo tu kuspend kwa gari.
We unachizika si bure, $200k ni pesa kidogo sana..santa sana dogo la kujitoa ufahamu, mamtoni tu hyo ni hela ndefu na wala sio kila mtu ana uthubutu huo itakuja iwe tanzania
 
Back
Top Bottom