Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's for you to figure... But We love each other.. wamewazidi based on what!?

Maana Nigeria na nyie mnafanana kama mayai... Its everybody for him/herself. If making money is by selling your young brother you will do it..

I guess that sums it all up!
Sisi capitalists Nigeria na Kenya tunakimbiza opportunity mahali popote ilipo. Nyie socialists on the other hand mnakaa juu ya mawe na kupiga soga bila kufanya kazi na kutaka kupata success kama sisi.
 
There are limits you don't cross... Like selling yourself for money... Ila nyie capitalists wa kuchovya hamjui hilo .. isn't it!?
 
There are limits you don't cross... Like selling yourself for money... Ila nyie capitalists wa kuchovya hamjui hilo .. isn't it!?
Hakuna nchi yoyote socialist ambayo ni first world. Nchi zote first world ni capitalist. Hio ndio maana hata nyinyi mliamua kuacha socialism na kukimbilia capitalism.
 
Kenya sio shit-hole kama Tanzania. Likija kwenye suali la mobile teleconnectivity Kenya tuko mbele ya nchi zote Africa Mashariki. Tuna smart phones nyingi per capita. Tuna internet subscribers wengi per capita. Tuna mobile money users wengi per capita. Yaani wacha tu. Dunia nzima inajua kwamba Mobile money ilianzia Kenya. Tanzania bado haijulikani kwa jambo lolote linalohusu technology.
Unazungumzia Nairobi ama?!!!!Ukute ushaenda kwenye kile kilima chenu cha network,ama uko juu ya mti mida hii.
 
Sisi capitalists Nigeria na Kenya tunakimbiza opportunity mahali popote ilipo. Nyie socialists on the other hand mnakaa juu ya mawe na kupiga soga bila kufanya kazi na kutaka kupata success kama sisi.
Labda ndiyo sababu pia mmeishia kufuga Boko Haram na Al Shabaab mtangamano. Tatizo kubwa la capitalism ni kulea sense fulani ya utegemezi. Hivyo hata Nigeria kwa mfano; Wakati ule Boko Haram wanachipua kama kikundi cha uhalifu, serikali ilikuwa ikiona haya kuwachukulia hatua "za kinidhamu" pengine kwa kuhofia kuwaudhi mabwana wakubwa ambao ni watetezi wakubwa wa "haki za kiraia".

Sasa limekuwa dubwana kubwa lenye akili kuliko serikali. Nyinyi pia stori yenu ya Al Shabaab iko hivyo hivyo. Kiherehere chenu kwa Marekani na Obama na oparesheni zao za kijeshi (propaganda) kiliwaponza.

Hizi nchi zetu za "kijamaa" hatunaga huo ujinga bila kujalisha nchi inaongozwa na nani. Al Shabaab walipojaribu kutubipu kule amboni waliipata 'fresh ya shamba'. Juzi kati hao mabeberu wenu wakajaribu kutubipu kuanzisha kwere kwenye ukanda wetu wenye gesi tukawapa haki yao pale MKIRU.

Sasa mabeberu na masalia yao yamebaki na stori za yuko wapi mwandishi flani! Hawaulizi wako wapi askari wetu walikuwa wakifanyiwa ambush na trained personnel!

Mfanye planning. Muache kukurupukia kila fursa. Mjifunze kwenye Amisom sijui Amison!
 
Hakuna nchi yoyote socialist ambayo ni first world. Nchi zote first world ni capitalist. Hio ndio maana hata nyinyi mliamua kuacha socialism na kukimbilia capitalism.
Na hakuna nchi zimekua successful kwenye ulinzi na utu kama socialist countries hilo unalijua nafkiri ndio maana leo mkiambiwa muowane wanaume kwa wanaume munakua wakali kwann sasa na nyinyi capitalist🤣🤣
 
E527AAD0-1C28-402A-922F-23674CC49F42.jpeg
 
Hakuna nchi yoyote socialist ambayo ni first world. Nchi zote first world ni capitalist. Hio ndio maana hata nyinyi mliamua kuacha socialism na kukimbilia capitalism.
Moderated..
Sio una-dive in all way bila hata kujifunza... Leo nani analalamika..kama sio hao hao(Makabaila) wanaanza kufungia makampuni ya nje, imposing higher tariffs and taxes on imports to protect struggling local producers and businesses... We are all socialists at the end...

When they came to colonize you..they were indeed capitalists..but when they went back home (to the so called Capitalistic countries) they gave each other free medicare, good paying jobs and Beautiful welfare housing and that my friend is nothing but socialistic as it can be.. Amka..

They won't kill each other for money.. or destroy brother's business because they want it....and the reason is they protect each other(socialists).. we unabebeba tu hata maujinga..halafu unajisifia!?
 
Sio mashinani tu bali hata Dar nimeona hakuna apartments. Nyie ni bure kabisa. Mnatuaibisha sisi wana Afrika Mashariki.
Hapo ndipo mna fail ukizungumzia kitu lazima uwe na uhakika nacho kuna vitu vipo kwa ground Mimi Nairobi nimekaa Sana bro kwa hiyo siwezi Nika wasingizia tatizo nyie mnapenda kukuza mambo Sana 🙂
 
Wanaingia leo kwenye gas wakat tanzania ina zaidi ya miaka 3 kwenye swala hilo 🤣🤣🤣

Unazungumzia Nairobi ama?!!!!Ukute ushaenda kwenye kile kilima chenu cha network,ama uko juu ya mti mida hii.
Mimi sina matatizo ya communication kama wewe. Mimi sio wa kuchezea hata kidogo. Mimi sio wale masikini wa Tandale unapoishi wewe. Mimi nina smart-phone ya 4G na pia nina Wi-fi kwa nyumba yangu.
Wacha nikupe evidence
Screenshot_20201226-120407.jpg

Kama uonavyo hapo juu kwa screen shot ya simu yangu, on the right side inasoma 4G. Na inasoma time ni 12:04.

Halafu muda huo huo nikazima 4G na kuwasha Wi-fi. Hebu tazama hapa chini kwenye screen yangu upande wa kulia utaona symbol ya wifi kumaanisha kwamba nimewasha wi-fi muda huo huo wa 12:04.
Screenshot_20201226-120416.jpg

Wi-fi yangu natumia kampuni ya internet provider inayoitwa liquid telecom na telecommunication provider wa 4G natumia Safaricom. Sasa endelea kusema kwamba niko juu ya mti nikitafuta network. Sio kila Mkenya wa kuchezea
 
Nimesema Kenya wa kwanza Africa as a pilot project na kwa hisani ya Vodafone! Hivi kuwa wa kwanza imewasaidia nini wakati kuna msela mbongo kapokea $25mln na anakula royalties za Pay As You Go(PAYG) kama inventor wa technology inayotumika na Circle Gas huko UK!

Muacha upumbavu wa kudai mligundua Mpesa, Mr Mendes from Tanzania is globally recognized inventor of PAYG system for Kopagas and he is quiet and none of Tanzanians here brag!
Wakenya wanapenda sifa🙂
 
Mimi sina matatizo ya communication kama wewe. Mimi sio wa kuchezea hata kidogo. Mimi sio wale masikini wa Tandale unapoishi wewe. Mimi nina smart-phone ya 4G na pia nina Wi-fi kwa nyumba yangu.
Wacha nikupe evidence
View attachment 1659396
Kama uonavyo hapo juu kwa screen shot ya simu yangu, on the right side inasoma 4G. Na inasoma time ni 12:04.

Halafu muda huo huo nikazima 4G na kuwasha Wi-fi. Hebu tazama hapa chini kwenye screen yangu upande wa kulia utaona symbol ya wifi kumaanisha kwamba nimewasha wi-fi muda huo huo wa 12:04.
View attachment 1659399

Wi-fi yangu natumia kampuni ya internet provider inayoitwa liquid telecom na telecommunication provider wa 4G natumia Safaricom. Sasa endelea kusema kwamba niko juu ya mti nikitafuta network. Sio kila Mkenya wa kuchezea
Umetumia nguvu nyingi sana easy,relax 😆😆,Safari hii hujaenda ushagoo?!!
 
Back
Top Bottom