Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Haha sijaenda. This time nipo Nairobi.Umetumia nguvu nyingi sana easy,relax 😆😆,Safari hii hujaenda ushagoo?!!
Haha sijaenda. This time nipo Nairobi.Umetumia nguvu nyingi sana easy,relax 😆😆,Safari hii hujaenda ushagoo?!!
Unakataa na ninafanya nao kazi. Some from as far as Shinyanga. Wasukuma wamejaa huku kinyamaHakuna na haitowahi kutokea mtz wa ss atoke Tz eti aende kenya kusaka life hakuna hicho kitu, Watz wote tunajua Kenya ni jehanam ndogo hapa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huoni mnafata DRC na Nigeria Kuwa na idadi nyingi ya watu masikini wa kutupwa? Au macho yako uliazima mtu?Kuna sehemu wameandika tatu bora ukipata tag me 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nye nye nye sisi matajiri sisi tuna GDP kubwa kuliko europe nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe munanyea debeView attachment 1659333
Ukipata neno top 3 naomba nijulishe plz 🤣🤣🤣🤣🤣Wewe huoni mnafata DRC na Nigeria Kuwa na idadi nyingi ya watu masikini wa kutupwa? Au macho yako uliazima mtu?
Watakwambia wamegundua choo, ila wakenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣🤣Watakwambia wamegundua choo, ila wakenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuna changamshana kdg😃Haha sijaenda. This time nipo Nairobi.
Kenyan Police
duuhHao ni matajiri
sawa nitakujuzaNjoo nikutembeze ukajione vijana wanavyiteseka kisa kuja kuomba omba mwisho wa siku maisha yanakua magumu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Weka picha ya Nyerere bridge.Siku wakunya wakimiliki kitu kama nyerere bridge tutakoma
tatizo unadharau mayatima yaani akili yako imewaza kuwa mtu yatima ndiye mtu anayeishi na ufukara ,wakati wapo tena wengi tu wana good life.....Kwhyo watu wasife kisa kutabaki mayatima ambao labda huenda wakatelekezqa na familia zao kis auchumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We kweli hko sawa pande za juu
Hao wanakuanga wale marejects. Wale ambao wamepata D+ ndio wanachukuliwa kuwa polisi. Sasa unategmea tabia gani kutoka kwa dumb-ass kama hawa.Hawa Askari wa Kenya khatari Sana usiombe akukamate na wanapenda rushwa kama kitu kingine 🙄
Kweli bro Ila sio vizuri polisi watakiwi kuwa wanyama hivo hope all will be well😔Hao wanakuanga wale marejects. Wale ambao wamepata D+ ndio wanachukuliwa kuwa polisi. Sasa unategmea tabia gani kutoka kwa dumb-ass kama hawa.
Hata huko Marekani polisi huwa wale wanafunzi walioanguka mtihani. Halafu wanapewa training ya miezi tatu na kupewa bunduki. Halafu bado tunashangaa mbona polisi huko wanauwa watu kiholela. Kwa maoni yangu polisi anastahili kuwa mtu aliyepita mtihani wa kidato cha nne. Mtu aliye smart kichwani. Sio hawa watu waliobeba ugali kama ubongo kichwani. Halafu training iwe ya mwaka moja sio miezi tatu au sita. Halafu wapewe training ya sheria. Polisi wengi sana hawajui sheria.Kweli bro Ila sio vizuri polisi watakiwi kuwa wanyama hivo hope all will be well😔
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata huko Marekani polisi huwa wale wanafunzi walioanguka mtihani. Halafu wanapewa training ya miezi tatu na kupewa bunduki. Halafu bado tunashangaa mbona polisi huko wanauwa watu kiholela. Kwa maoni yangu polisi anastahili kuwa mtu aliyepita mtihani wa kidato cha nne. Mtu aliye smart kichwani. Sio hawa watu waliobeba ugali kama ubongo kichwani. Halafu training iwe ya mwaka moja sio miezi tatu au sita. Halafu wapewe training ya sheria. Polisi wengi sana hawajui sheria.
Huijui au???🤣🤣🤣Weka picha ya Nyerere bridge.