Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Most recent ni even worst, Corona imeongeza unemployment in millions na poverty piaData za kitambo. Hizi apa most recent
![]()
Most recent ni even worst, Corona imeongeza unemployment in millions na poverty piaData za kitambo. Hizi apa most recent
![]()
Dar ya sasa inasikitisha yaani over 5 years now hii ndio crane pekee kuashiria hiyo structure inaweza kuwa above 15 floors,huu sasa ndio uchumi wa makaratasiWanahisi wao tu ndio wanajenga🤣🤣👇 kwamba sisi tumesmamaView attachment 1655398
Magnificent Nairobi,Dar ilishajifia kwenye sekta ya majumba marefu yaani wamebaki na vibanda vya dream houses tuu.Building moja Tanzania nzima ndio unapiga nayo kifua?Wengine wanajenga gorofa hamsini kwa mji moja, nyinyi mko hapa na nyumba moja ya 9 floors
View attachment 1655400
That is 21floors 🤣🤣🤣🤣 na nikupe taarifa density ya dar kimajengo ni sawa na nairobi 5 mark my words, unazungumzia road infastructure ila huzungumzii mengine kama hrdro dam of 3b usd cost, huzungumzii dodoma inajengwa kila kona weweDar ya sasa inasikitisha yaani over 5 years now hii ndio crane pekee kuashiria hiyo structure inaweza kuwa above 15 floors,huu sasa ndio uchumi wa makaratasi
Road infrastructures pekee ndio mumejikakamua.Very sad
Nairobi huwezi kupata view kama hii bila kukutana na slums
Siku ukipata density ya majengo kama hii kokote kenya unitag mm 🤣🤣👇👇👇Magnificent Nairobi,Dar ilishajifia kwenye sekta ya majumba marefu yaani wamebaki na vibanda vya dream houses tuu.
Nairobi ni ya kushindanisha na Luanda labda na Addis kidogo
Slums kama zote
Hehehe kazi yenu iliobakia ni kufungua acc mpya kila leoMagnificent Nairobi,Dar ilishajifia kwenye sekta ya majumba marefu yaani wamebaki na vibanda vya dream houses tuu.
Nairobi ni ya kushindanisha na Luanda labda na Addis kidogo
Raha ya Kenya ni kwamba hadi miji midogo kuna barabara za ukweli ambapo Tzn ndio zinajengwa Dar peke yake na good enough miji yao inaonekena kuwa kwenye planning safi tofauti na Tzn ambako mambo yako hovyo hovyo tuuView attachment 1656268Nakuru hio, Dar iko moja tu
Tumaini University (college?) is much better 🙂
This is no more a college but part of Tumaini university it is Tumaini Makumira university!
I didn't knowThis is no more a college but part of Tumaini university it is Tumaini Makumira university!
Hehehehehehehehehehehehehhee sikieni hii nzige 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Raha ya Kenya ni kwamba hadi miji midogo kuna barabara za ukweli ambapo Tzn ndio zinajengwa Dar peke yake na good enough miji yao inaonekena kuwa kwenye planning safi tofauti na Tzn ambako mambo yako hovyo hovyo tuu
Tuko Dar vs Nairobi hiyo Dom peleka kwa Thika huko na kuna uzi wakeThat is 21floors 🤣🤣🤣🤣 na nikupe taarifa density ya dar kimajengo ni sawa na nairobi 5 mark my words, unazungumzia road infastructure ila huzungumzii mengine kama hrdro dam of 3b usd cost, huzungumzii dodoma inajengwa kila kona wewe
hao watz mnaowasema kila siku fukuzeni wote wote maana huku kwao mbona hayo maisha hayapo....Hahaaa!!wengine hapo ni wale omba omba wenu, wanakuja kenya kulala kw streets mambo yanapokua magumu..
Kisha nashangaa mtu mzima na akili zake anafurahia watoto wadogo ambao ni homeless, kweli wenye roho za kichawi hawatokuja kuachwa salama pande zile za pili walai..
Mtu unawakejeli watoto ambao hawana familia na wala hawana pa kwenda jamani
Tz baba kawa mngonjwa tu watoto wakala kinyesi itakuja kua homeless mitaani, we hujui maisha itakua
adabu ninazo tena za kutosha kukushinda wewe...Kisha uwe na adabu ndiposa ujifunze yatima asiyekua na familia wala pa kwenda..
Hujui kesho yako we bwege, mnafikiria kila kitu ni kufurahia tu