Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukumbushane kidogo, wakuu tafuteni og pic ya hii photo

1608718645639.png



KWA HISANI YA MAGUFULI
 
Tanzania has 5553 ultra high net worth individuals while Kenya has 2900. Dar is the commercial capital of TZ. Hypothetically, if 2/3 (two thirds) of all millionaires in Tanzania reside in Dar es Salaam then Dar is home to more dollar millionaires than the whole of Kenya (3702 Vs 2900). Kuna watu walikuwa wananasema Mombasa ina dollar millionaires wengi kuliko Dar Here are some facts you should ponder before making any ashaming statements. Anyway... tusherehekee kuwa TZ is the home of the rich.
View attachment 1657500

Hilo Paja Mkuu noma sana.
 
Ndiyo maana huwa nawaambia hawa wakunya kwamba maendeleo siyo maghorofa na barabara za Nairobi tu. Tz tunajitahidi kuwekeza kwenye social services katika kila sector ya maisha kila mkoa, na wilaya na ushahidi huwa tunawakea humu humu jf lakini wao wamebaki kupost vipicha vya maghorofa ya Nairobi tu. 😀 😀 😀
 
Ila hapa Uganda iwe makini sana, maana kwa TZ mpaka sasa ATCL inatengeneza mapato yake mengi kutokana na Local flights kwani TZ kuna viwanja vingi na movement za watu ni kubwa kutoka mkoa kwenda mkoa...nilibahatika kuona balance sheet ya ATCL yaan frequencies za local flights is super good ambazo zinatengeneza asilimia kubwa ya mapato ya ATCL kwa sasa ivyo ATCL inazidi kutengeneza mizizi yake ndani ya nchi na baadae kwnda nje ya nchi ila nyumbani tunakuwa tayar tumejenga soko zuri yaan local flights. Na hapa ndipo tunaipiga bao Kenya airways na Rwanda airways kwani wao wanategemea sana international flights na ndani ya nchi zao biashara ya local flights kwa hayo mashirika yao almost hamna kitu kwani viwanja ni vibovu na sehemu nyngne hakuna viwanja kabisa.
Ushabiki Ni kitu mbaya jamani. Hawa basi, kwa vile ukibahatika kuona balance sheet ya ATCL, walitengeneza faida ya shilingi ngapi?
 
H
Hawa jamaa wanatuaibisha sana waafrica.
Hili halifai kuwa hata banda la kuku.
Kwani gdp yao kazi yake nini??
Kama watoto wanasoma hapa ni balaa.!!

Afu watoto hawa wakija jamii forum kingereza kingi mpka mdaraja ya ovyo wanaita floating bridges kumbe ndo shule zao izi🤣🤣🤣🤣!!
 
LOL kumbe ni just forwarders
Sa mbona hayo mambo ya kawaida sana kwa Tanzania diaspora

Serengeti freight inayomilikiwa na mtanzania ni kubwa kuliko hicho kituko cha Kenya komora096

View attachment 1657605View attachment 1657606
tena wao wamejikusanya wapo zaidi ya watatu ila yetu mmoja tu kawavua chupi tiyar......wakenya hawana akili wanaleta vitu ndogo ndogo ambazo ni normal ishu anakuja kulinganisha na KODTEC
 
Back
Top Bottom