Dp Ruto say![]()
tujikumbushie kidogo...
piga makofi na hapa bas.. WB say


Dp Ruto say![]()


Kama ruto asingekuwepo kwenye hiyo picha,wakunya wangedai hao ni wabongo
Nani alisema Eric omondi si mcheshi,,cheki hii advert, really he is the king of comedy in Africa 🤣🤣👏
Among is relative. Top three (tabu bora) isn't. That's the differenceNicxie yawezekana kirefu cha WB hukijui 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇najua nimekuharibia sikukuu yako ila utanisamehe panapobudi hutendwa
View attachment 1658563
hamna markings wakati upande wa kulia wanaonekana wamepachika kipande! Hii ndo standard ya kenya sishangai halafu ni kama kuna nundu flani hivi!Ila mchina mbinguni hapamhusu 🤣🤣🤣hvi kweliView attachment 1658561
Hizo znaitwa shoulders za barabara, markings of course hufuata after completion,,there no road on this Earth imejengwa na mchina ikaachwa without markingshamna markings wakati upande wa kulia wanaonekana wamepachika kipande! Hii ndo standard ya kenya sishangai halafu ni kama kuna nundu flani hivi!
Hizo ni propaganda, eti watz! Mbn huku kuna Wakenya kibao ambao walikuja enzi za mababu lkn hatuwaiti ni wakenya bali tunawaita Watz? Mtu kazaliwa huku, kuja kwake ni matokeo ya mababu zake utampokonya vp uraia?Watz kw streets wa tele, hilo ukitaka pinga mpka kiama lkn wala haitobadilisha chochote kile mitaani..
Karibia kila siku marikiti tunakutana nao wakiwa stranded hawana pa kwenda
Ukambani kwa Alfred Mtua wa chapchap sio? Yule anayejenga barabara zinamong'onyoka zenyewe!
The same to you nigga.Merry Christmas everyone from Nakuru View attachment 1658633View attachment 1658634
Naton Jr naona huku napo kuna nyomi tena halina mzaa kwa madereva wanaohatarisha usalama barabarani!
Corrupted state like Kenya hata failed state wenzao hawataki kuwa part of them japo wanawategemea kwa kila kitu 😂😂😂Hii picha nikiiona hua nacheka mwenyewe 😆😆
View attachment 1658528
Same to you bro
Mbona unatumia picha ya Mkenya kama avatar yako?
Among is relative. Top three (tabu bora) isn't. That's the difference
Nimesema mm hapa yani huyu hakuna anachogekesha bora hata yule njugush namuona ana nafuu🤣🤣🤣🤣I would give a standing ovation to Mammito's commedy than this guy. To me, Eric omondi does not make a good comedian!
Yani kwa akili ya mtu muungwana akiangalia hii barabara tayar anajua magumashi🤣🤣Hizo znaitwa shoulders za barabara, markings of course hufuata after completion,,there no road on this Earth imejengwa na mchina ikaachwa without markings
View attachment 1658712