Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila kuna lecture Hall inabidi waweke madirisha! [emoji116]
2647699_DSC_6961.jpg



Ikinyesha ya upepo darasa linasimama!
imekaa kihuni sana
 
Usinilete uchizi ni wapi wamesema Tz iko mbele ya kunya au skuizi kuambiw among 8 manake imekuwa ya nane[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....ujinga unao mwingi ww
kabisa huyo ni kichaa ila ataelewa tu
 
nani kakudanganya,,,hizo link zenu za uwongo tupa kule...

maisha mabovu zaidi yapo kenya mwenzako anasingizia yatima
How desperate! World Bank wakisema mmetoka LDC ni wazuri kuliko wote. The same World Bank wakisema mnaongoza ukanda huu kwa umasikini wa kutupwa sasa wamekuwa waongo!! Kwa kweli mnatia huruma 😂
 
How desperate! World Bank wakisema mmetoka LDC ni wazuri kuliko wote. The same World Bank wakisema mnaongoza ukanda huu kwa umasikini wa kutupwa sasa wamekuwa waongo!! Kwa kweli mnatia huruma 😂
Kwani waliosema nyinyi muko kundi la extreme poverty ni nani ??🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakubutua .....

ila nakuhurumia maana hata ulivyoandika umejishtukia ,sababu umeandika kitu ambacho unakijua
Tuonyeshe hata 1%[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuteremshia dau..
 
ushuku usishuku potelea mbali,,

ila hao chokoraa ni kipimo kinachoonyesha hali halisi ya nchi yenu kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja yapo vip...

ila vip kuhusu wale walio turkana na maeneo mengine.....
je wale nao ni yatima...?
Kwhyo watu wasife kisa kutabaki mayatima ambao labda huenda wakatelekezqa na familia zao kis auchumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We kweli hko sawa pande za juu
 
Back
Top Bottom