Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KDF ni mdebwedo sana,yaani wanakimbia pundamilia(zebra)..!!??!.. sasa wakikutana na mnyama si wataharisha..

Ila nawasifu KDF kwa mbio,wako vizuri,hata mujahdeen walipovamia kambi yao kule lamu KDF walitoka mbio,wakatokomea machakani,wakawaacha wamarekani wapambane peke yao,nahisi mbio ni talanta wamepewa wakenya..ona huyo afande anavyokimbia..
huyo afande ni balsa ana speed zaidi ya chita kwa mujibu wa data base ya KDF jeshi bora duniani
 
adabu ninazo tena za kutosha kukushinda wewe...

kinachonisikitisha nchi tajiri kama kenya kuwa na wingi wa umaskini kama huo ,huwa inanipa shaka sana inaonyesha ni jinsi gani uchumi wa kenya haupo kwa wakenya ila upo kwa foreigmers ,,,na hata wakenya wanaoumiliki huo uchumi ni wachache...

msiwe mnajitamba ovyo angali maisha bado ni tete,,na leo pita hapo ukawasaidie ndugu zako hata pesa kidogo..
Uchumi na watoto homeless wapi na wapi jomba, mbna unajito ufahamu kihivi leo yani mpka nashuku uwezo wako wa kungamua vitu walai
 
adabu ninazo tena za kutosha kukushinda wewe...

kinachonisikitisha nchi tajiri kama kenya kuwa na wingi wa umaskini kama huo ,huwa inanipa shaka sana inaonyesha ni jinsi gani uchumi wa kenya haupo kwa wakenya ila upo kwa foreigmers ,,,na hata wakenya wanaoumiliki huo uchumi ni wachache...

msiwe mnajitamba ovyo angali maisha bado ni tete,,na leo pita hapo ukawasaidie ndugu zako hata pesa kidogo..
Naona uneanza kukimbilia kw foreigners, tuonyeshe hao foreigners ambao wanamiliki hata robo ya uchumi wetu
 
hao watz mnaowasema kila siku fukuzeni wote wote maana huku kwao mbona hayo maisha hayapo....

muache propaganda,,hayo ni maisha ya kenya na hao ni wakenyabwenzenu usitake kuwakataa kwa kuwatengenezea tabaka ,,hao wote ni wakenya
Watz kw streets wa tele, hilo ukitaka pinga mpka kiama lkn wala haitobadilisha chochote kile mitaani..

Karibia kila siku marikiti tunakutana nao wakiwa stranded hawana pa kwenda
 
when we say we mean t

#watalii daraja la1!!
20201224_140938.jpg
20201224_141032.jpg
20201224_141012.jpg
20201224_141056.jpg
 
Mwaka wa pili? Is that how you console yourselves? Bongolala, hii ni ripoti ya October mwaka huu(2020). Mtatafuta pa kutokea ila hamtapata
This is the link
The only reason, we are together on that list is because of using usd as a standard but for sure you know your money is trush as far as ppp is concern, when compare our poorest person against yours ,ours is ten times better
 
Back
Top Bottom