Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akothee anakulisha kuanzia wewe mpka na ukoo wako wote
Mafukara nyie mbona asilishe hawa....funga tu bakul
JamiiForums704776533.jpg
JamiiForums1690919998.jpg
JamiiForums2048965383.jpg
 
unadhani hiyo kampuni ina ishu yaani ni zile kampuni za clearing & fowarding ambazo zipo kibao kwenye masuala ya transiportation cargo.......
yaani nimecheka sana leo huyo mrembo mama kayayii katoa kali ya mwaka...

yaani kampuni inayojihusisha na mambo ya electronics anakuja kucompare na vitu ndogo ndogo za transiportation....ni ukichaa wa hali ya juu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
tena wao wamejikusanya wapo zaidi ya watatu ila yetu mmoja tu kawavua chupi tiyar......wakenya hawana akili wanaleta vitu ndogo ndogo ambazo ni normal ishu anakuja kulinganisha na KODTEC[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
😅😂😂 Sasa huyu mtanzania anaemiliki University US asemeje? komora096

 
Naona bado mnaendelea kujifariji tu, we unafikiria kuendesha trucks mia tatu tena marekani ni sawa na kula chipsi zege hapo temeke..
kuendesha tu,,,,,,ni simple deal.......

ni udereva tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom