komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hahaaa!!wengine hapo ni wale omba omba wenu, wanakuja kenya kulala kw streets mambo yanapokua magumu..kwa hiyo yatima wapo kenya tu....?
sababu ya uyatima ndiyo walale kwenye nguzo za fly over...
usinichekeshe mie
Kisha nashangaa mtu mzima na akili zake anafurahia watoto wadogo ambao ni homeless, kweli wenye roho za kichawi hawatokuja kuachwa salama pande zile za pili walai..
Mtu unawakejeli watoto ambao hawana familia na wala hawana pa kwenda jamani



Tz baba kawa mngonjwa tu watoto wakala kinyesi itakuja kua homeless mitaani, we hujui maisha itakua




