Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Mbona kama hatuelewani ?🙂Kawaulize ccm kwnn walivunjia watu mijengo km wao ndio vinara wa ku plan ukanda![]()
Mbona kama hatuelewani ?🙂Kawaulize ccm kwnn walivunjia watu mijengo km wao ndio vinara wa ku plan ukanda![]()
Rudi tena uka google vizuri wakupe na jina la hicho kijiji, nipo serious nataka niende nikatoe msaada hko..Maana yangu ni kwamba watu wakiwa wanaongea vitu serius usilete jokes.
Unatembeleaje kwenu si jina ndo ilo wamekupa Mombasa.

Naona angalau umemaliza kila kitu, manake wengine wangelizungushana vi emojis hapa mpka basiRegent Estate, Dar Es salaam. In the Background you can see the Palm Village Shopping Mall and apartments. Here’s a recent photograph.
View attachment 1655407
Why should I have all the fun? Wanafanya badala yangu😂😂😂Naona angalau umemaliza kila kitu, manake wengine wangelizungushana vi emojis hapa mpka basi
Rudi tena uka google vizuri wakupe na jina la hicho kijiji, nipo serious nataka niende nikatoe msaada hko..
Na wewe utapata fungu kubwa sana ukinirahisishiwa kw kuwauliza vizuri hao majamaa km hapo panaitwaje[emoji1
Fungu kubwa kunipa mimi??Rudi tena uka google vizuri wakupe na jina la hicho kijiji, nipo serious nataka niende nikatoe msaada hko..
Na wewe utapata fungu kubwa sana ukinirahisishiwa kw kuwauliza vizuri hao majamaa km hapo panaitwaje![]()
Yaani ni shida mi na mshangaa kama hakuna mbona wasiboreshe mazingira slums zimetapakaa kila Kona ya mjiWapo wanaomiliki slum tu
Daaah inauma Sana Yani Kenya bado Sana hata kama Tanzania tuna umaskini sio wa hivi😔😔hivi kweli Kenya hakuna viongoz? KhaaaMaskini ya Mungu wanajuta kuzaliwa ndani ya failed state👇👇👇
View attachment 1655576
View attachment 1655589
Nitafutie jina basi kutoka hko ulikokitoa hicho kijijiFungu kubwa kunipa mimi??
Kwanza umekula leo. Maana nyie kwenu chakula ni mtihani kupata..


Kuna mtu kumbe anaumwaAi mombasa kwani hujaona pale wameandika mombasa unajifanya kama hupajui vile!!! Acheni maneno ya JF wakati ground ndo ivi.
Fishing village mombasa. 2019.
View attachment 1655636



ugua pole pole tuDanganya totoTupe jina ya hili darajaView attachment 1655300
Hahaaa!!mtego huoDanganya toto
TuliwaambiaHapo kazi tu, huku kwetu ni upuzi wa bee bee eye na ufujaji wa pesa za umma.
mpe hii kutoka kwa mjenzi mkuusasa unapoambiwa tpa ni 40 mbona huwa una ng'aka!!!!
kisa umesikia kuna 5 chini.
Kumbe nilikuwa na argue na toddler?Nani amekuambia za chini huwa zinahesabiwa?
![]()

lala utulie tuusan alikosea kukupa info za TPA
daah,ni huruma kwa kweli...Maskini ya Mungu wanajuta kuzaliwa ndani ya failed state
View attachment 1655576
View attachment 1655589
Yani by hakuna ujenzi unamaanisha nn?Sasa mbona ullipost picha za nyumba ishaisha?Kubali tu kuwa hakuna ujenzi unaendelea Dar
![]()