Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubinafsi huanza hivi uwanja ulio 43 km toka Arusha unasema mbali wakati mpango wa kuanzisha safari ya reli KIA-Arusha upo mbioni? Mwenzio Sumaye alipokuwa Waziri Mkuu alijaribu hili akashindwa! Na ati mtu kwenda Arusha apitie Dodoma hiyo ni jiografia ipi? Wakati kuna bandari ya Tanga underutilized? hivi sio nyie mnaouponda uwanja wa Chato? Reli inayohitajika ni ile ya kutoka Tanga na kwenda Musoma, Arusha inahitaji bomba la gesi pia! Hivyo unavyotaka wewe havina prospect!

Map-of-Tanzania-showing-the-five-coastal-regions-where-coconut-materials-for-the-analysis.png
Kwa Dodoma kua capital city huwezi kuzuia reli ya Dom - chuga na ikiwezekana hata Dom - Iringa - Mbeya, hata wakishamaliza tanga-chuga-musoma still hiyo route ni muhimu hata usipoona umuhimu now utauona miaka michache ijayo.
Kuhusu hiyo KIA kwa position iliyopo bado kupambana na JKIA ni ngumu maybe hiyo reli unayozungumzia na iende hadi longido sio iishie Arusha mjini.
Note: Mimi sio mtu wa Arusha mkuu bali Kilimanjaro so point yangu hapa ni kuipa Arusha power ya kutosha kutoa jasho Nairobi, KIA hadi Loliondo ni 220+ km but to JKIA to Loliondo ni 160KM na hapo hujafika border
1607945299964.png
 
View attachment 1649822
Yaani ijengwe airport kwa ajili ya Longido Utasubiri sana mzee!
 
Kweli mkuu slums Nairobi huwezi ukamaliza Bora kwetu uswahilini changamoto zetu tofauti na za hawa jamaa mboga za majani kuanzia matembele,Chinese,bamia,nyanya chungu etc ziko affordable nivigumu kumkuta mbongo amelala njaa au Kala mlo mmoja japokua wapo wanaolala njaa lakini sio kwa style ya majirani zetu
Hizi je? Tueleze zinamalizikaje
Screenshot_20201212-010603_YouTube.jpg
Screenshot_20201212-010718_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom