Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,218
- 4,043
Sana,km umeshukia hapo mkuu...Nyuma yake kuna moja ni kali balaa kwa jina Legendary lodge...ni most expensive lodge around Arusha nzima.....zungukia hapo tupe pichaPazuri
Sana,km umeshukia hapo mkuu...Nyuma yake kuna moja ni kali balaa kwa jina Legendary lodge...ni most expensive lodge around Arusha nzima.....zungukia hapo tupe pichaPazuri
Si ndio hapo penye Jacaranda trees nyingi?Sana,km umeshukia hapo mkuu...Nyuma yake kuna moja ni kali balaa kwa jina Legendary lodge...ni most expensive lodge around Arusha nzima.....zungukia hapo tupe picha
Ufiki kwenye zile jakaranda,ukitoka hapo kama unarud airport ni mt 100 kuna geti lingine unazama nalo...hiyo inakuwa nyuma ya hiyo Amani.Si ndio hapo penye Jacaranda trees nyingi?
kunavutia kuliko state house ya kenya..Ngoma ya Dai na Zuchu litawachoma kashootia hapo
View attachment 1655802View attachment 1655803View attachment 1655805
Dah watu wana mawe 😆😆😆😆😆
sirjeff mzee wa forexdaah uyu jamaa tulisoma wote primary alikua mbele yangu darasa moja.. sirjeff maisha bhana