🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wenye jengo wanakwambia 27🤣🤣👇👇Mnaleta nyuzi za Skyscrapercity mlizotunga wenyewe
Halafu analeta picha ya ujenzi wa ghorofa 10+,sisi tukiamua kuleta hizo picha jengo mojamoja si tunajaza seva bure,upanga tu kuna kama majengo 6 ya floor 15+ yako UC🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani jamaa alijua katukamata yani alijua tumeiba pic ya paris hvi
Kama hakuna mbona msiziboreshe zikawa nyumba nzuri?Hakuna mtu amabae anamiliki uswazi nairobi![]()
Hehehe!!imepenya hyoWapo wanaomiliki slum tu
Mwambieni panaitwaje basi afabye research mwenywe, ligi zingune za kishambaJamani kuna mtu hataki kuamini kama hii ni dar![]()