sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448
Hiyo ni Mombasa road na ni more than two times larger than kariokoo,posta and upanga combinedBado maana ngara ni eneo ndogo tu
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni Mombasa road na ni more than two times larger than kariokoo,posta and upanga combinedBado maana ngara ni eneo ndogo tu
Is this a floor or not?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]Kwahyo viewing decks ni floor [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Wewe ni mjinga wa kutupwa, hizo picha ukiangalia zooming ya majengo vinaendana? Sina muda wa kupoteza na mpumbavu, kama hujanielewa amini hivyohivyo sikio la kufaUnajua kilimani pekee inaupana mkubwa zaidi ya posta,kariokoo na upanga combined?.... Yani hii ndio posta,kariokoo na upanga vs Ngara ambayo ni mtaa tu na bado cbd,Westlands,kilimani na Mombasa road area hazipo View attachment 1655167View attachment 1655168
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
How many floors are seeing here?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]Wewe ni mjinga sana, kama unafuatia buttons sasa tuambie button ya 35 iko wapi?
Kwa nini button ya 35 imerukwa? ni kwa sababu sio floor zote zimepewa service ya hiyo lift na ndio kilichotokea kwa floors 4 za uuTPA ni 36 floors.
Sasa ni siseme ukweli kadar ni kaduchuWewe ni mjinga wa kutupwa, hizo picha ukiangalia zooming ya majengo vinaendana? Sina muda wa kupoteza na mpumbavu, kama hujanielewa amini hivyohivyo sikio la kufa
Nataka uelewe kuwa sio floors zote ziko kwenye service ya hii liftHow many floors are seeing here?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1655189
Floors gani za juu?[emoji23][emoji23][emoji23] Hapa nimehesabu hadi ground floor lakini bado haifiki 40[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]Kwa nini button ya 35 imerukwa? ni kwa sababu sio floor zote zimepewa service ya hiyo lift na ndio kilichotokea kwa floors 4 za uu
Hiyo uloweka 37 sio ground ni first floor, ground imezibwa na hizo boats + 2 juu + revolving floor. Kama hapo hutaki kuelewa basi mimi siwezipigia mbuzi gitaaHow many floors can you see here?[emoji23][emoji23][emoji23] Nimejaribu kuwa lenient nakahesabu hadi ground yenye haifai kuhesabiwa[emoji23][emoji23][emoji23].[emoji116][emoji116] Mimi nimehesabu 36 floors + ground flour.View attachment 1655169
Don't force what's not there[emoji23][emoji23][emoji23]Nataka uelewe kuwa sio floors zote ziko kwenye service ya hii lift
Hakuna kitu sijahesabu hapo[emoji23][emoji23]. TPA will never reach 40 floors[emoji23][emoji23]Hiyo uloweka 37 sio ground ni first floor, ground imezibwa na hizo boats + 2 juu + revolving floor. Kama hapo hutaki kuelewa basi mimi siwezipigia mbuzi gitaa
5M people + WanyamaporiMwanza ina zaidi ya 2 million people
Dar ni 1600 km square ina watu 7 million
Nairobi ni 690 km square ina watu 5 million
Nani wamejazana wapi? 🤔
Nyinyi mabongolala ni pumba za kabisa....yani huezielewa jengo ni la floor thirty five kutoka ground flr hadi flr ya juu,wamefanya mukusudi kuandika thirty six badala ya thirty fiveHow many floors are seeing here?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1655189
Lina 10 floors hizo buttons ni lift ya ghorofa flani huko south africaNyinyi mabongolala ni pumba za kabisa....yani huezielewa jengo ni la floor thirty five kutoka ground flr hadi flr ya juu,wamefanya mukusudi kuandika thirty six badala ya thirty five
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Mm hapo huniweki hapo hata kwa bastola[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bro hapo wapi? Mbona kama vile uvira labda na huko upajui Mimi nakuelezea kulingana na experience yangu binafsi sijui umenielewa? Nimekaa Nairobi zimerman,umoja 2,ina core na nimefika mitaa mbali mbali Yani kwa ufupi slum zenu nazijua vizuri[emoji846]mfano slum ya Kwanza na ya pili mathare upande wa desert,ya tatu kibra au kibera alafu ya nne korogocho upande wa mukuru au dandora dumpsite Sawa?[emoji846]
Jamaa kaamua kutuwekea picha za uvira kwa kina Christian bella [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Home of concrete jungle [emoji3][emoji3][emoji3]Unajua kilimani pekee inaupana mkubwa zaidi ya posta,kariokoo na upanga combined?.... Yani hii ndio posta,kariokoo na upanga vs Ngara ambayo ni mtaa tu na bado cbd,Westlands,kilimani na Mombasa road area hazipo View attachment 1655167View attachment 1655168
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Hapa ulipohesabu ulipata ngp vilee, na hapo subiri tuligeuze ili utii [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]TPA ni 36 floors.
37. 36 floors + ground level. Remember ground level is not a floor.[emoji23][emoji23]Hapa ulipohesabu ulipata ngp vilee, na hapo subiri tuligeuze ili utii [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1655200
Ukipata viberiti km hv Kenya nabadili uraia [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]Posta,kariokoo,upanga vs Mombasa road areaView attachment 1655170View attachment 1655171
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app