Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Hizo za chini huwa hazihesabiwi. Hata sisi hatuhesabu za chini. Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuhesabu basement floors unless huelewi maana ya ghorafa. Watanzania mna ushamba mwingi sana. Wacheni ushamba.sasa unapoambiwa tpa ni 40 mbona huwa una ng'aka!!!!
kisa umesikia kuna 5 chini.
Teargass nilikuambia hawa watu kuargue nao ni stress tupu. Sasa ng'ombe inataka kuhesabu basement kama part ya ghorofa.