😀 😀 😀 ☝️ Subiria loss lazma i-double!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wameachiwa mzigo wao wafe nalo
Ogopa mtu anaejua kila kituSasa mtu anaeza kubishana na google earth atashindwa kubishana na contractor 🤣🤣
🤣🤣🤣 yani mumzoee huyo kwangu hua hanipi tabu ananijua vzr sanaOgopa mtu anaejua kila kitu
Na yale ma leasing aircrafts lazma yawaue 🤣🤣🤣🤣😀 😀 😀 ☝️ Subiria loss lazma i-double!
Usiongee km mwehu uwe unaweka na ushahidi.Hii imedizainiwa na Mkenya ndio unaturingia? Chizi wewe.
Ndo nn ss, kwahiyo na mm nikiokota mikaratasi nikaweka nakuwa sio size yako, btw nimeona umekula like ya Naton Jr ngj aje anieleze ameona nn kwa hii nyani jikeMimi si size yako dogo, njoo taratibuView attachment 1654926






Analeta mambo ya mikaratasi apa, alafu wala hatukuwa na hoja hyo nikashangaa analeta hbr za size ya mikaratasiSasa unataka umtisha Nani ? ? ? ?
kwa kufanya kazi Ofisi ya raisi![]()




Uyo anazidiwa na Uhuru tu kwa ufalanikisema unakazwa ntawakosea heshima mabasha wako.
aliyesema wewe ni no 1 kwa ufalla hakukosea.



anataka kutwambia kwamba katumwa na serikali ya uhuru aje achangie mada humuAnaleta mambo ya mikaratasi apa, alafu wala hatukuwa na hoja hyo nikashangaa analeta hbr za size ya mikaratasi![]()



Lkn hata tukiangalia uhalisia tu hakuna nchi ukanda huu iko more urbanized km Tz, hata wao wanajua hilo lkn km wanabisha tuanzishe uzi wa EA urbanized areas ili tuone wao na sisi nani wako urbanized zaidi.Hahahaha wakasome maana ya urbanization
urbanization
/əːb(ə)nʌɪˈzeɪʃ(ə)n/
noun
the process of making an area more urban.
Making sio moving, hawa watu elimu yao ni takataka kabisa, haya mambo Tanzania wanafundishwa form 2 kwenye Geography![]()
Mwehu tu uyo na atatulia humu we ngjHajui unaeza kuwa unafanya kazi ofisi ya raisi ukawa unalipwa $200 halafu mimi nikaajiriwa sekta binafsi nikawa nalipwa $800![]()


Ss nenda kashtaki Google kwnn wanasema hakuna slums Tz




Iko wapi ss iyo barabara ya chini au mnaiona pekee enu tuHiyo excavation ni ya barabara ya chini kabisa.View attachment 1654967






Umepata 37 na sio 36 au sio, ss tulia hapohapo tuligeuze hilo jengo ili twende sawaichoboy01, @NDIDA. Where are you?Nyinyi ndio mlikanaza kuwa TPA ni 40 floors.
View attachment 1654973View attachment 1654974





