Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


380B18E9-40B1-4E60-A65C-70506CA6FB45.jpeg
So unabishana na wenye jengo🤣🤣👇
 
Mkitana kupoteza muda na teargass hata hadi June 2021 kuhesabu flrs tu yuko tayari...tpa lina flr 9 case closed na cbk lina flr 3
 

Wakenya wa humu jf wananifurahisa sana wao maendeleo kwao ni Majengo marefu pamoja barabara zilizolundikana mji mmoja tu. Kila muda ni kurudia rudia kutuma picha za majengo tu. Sisi Tanzania tunaboresaha maisha ya wananchi kwa kujenga miundombinu yote muhimu kwa maisha ya binadamu kila mahali, kama vile;
  1. shule za msingi, sekondari na vyuo vya ufundi kila wilaya,
  2. Hospitali, zahanati navituo vya afya kila wilaya,
  3. Barabara kuu (highway) na barabara za mjini/vijijini,
  4. Meli za abiria na mizigo, vivuko (ferries,
  5. Reli ya yenye umeme na tunakarabati/upgrade reli yetu aliyotuachia mkoloni
  6. Tunanunua ndege za abiria na mzigo,
  7. Tunajenga masoko ya kisasa kila mkoa,
  8. Tunajenga machinjio za kisasa
  9. Bwawa la kufua umeme na pia kujenga vituo vya kuzalia umeme kwa nguvu za gesi
  10. Madaraja kwenye mito, baharini, ziwani na kwenye mabonde
  11. Tunajenga miundombinu ya kusambaza maji mijini na vijijini (hili kwa baadhi ya maeneo mijini na vijini +ve effect yake imeshaanza kuonekana)
  12. Ongezeeni mengine maana ni mengi mno kuyataja yote mimi peke yangu
 
Back
Top Bottom