Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulicho ahidiwa na jubilee ni hichi[emoji116][emoji116]
View attachment 1650682






tulicholetewa na jubilee baada ya kupata kura [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1650683



Au nasema urongooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatujaahidiwa mchoro sisi, km nyie mnasubiria treni za pale kw ule mchoro msahau..
Treni zenyewe mumeshindwa kununua mpka leo
 
1.2b usd/ 300km remember ni electric rail eka akilini hio
300km labda itakua ni reli ya chato hyo
Alafu mie nimeitisha pa KM wala sitaki mipasho na vi emojis alafu tuje tulinganishe na light tuone nani zuka
 
Morooo moja[emoji91][emoji91][emoji91]SGR
Screenshot_20201215-143721.jpg
Screenshot_20201215-143739.jpg
 
Station za SGR Tanzania ni reasonable. Mtu anataka tujenge station kubwa kwenye town yenye watu 10000. Kwenye mradi huu, Pesa zinatumika accordingly!
Kwhyo nyinyi hamuwazi nje ya circle kabisa, au unafikiria SGR ni mradi wa miak miwili mitatu..

Sa zingine hata km unatetea ujinga lkn usifikie level hii yenu bana, mnatisha sana kidunia katika anga za kutumia akili ipasavyo
 
Hakuna mkenya hata 1 mwenye followers zaidi ya million 3 halafu Utasikia wana internet penetration kubwa [emoji1787][emoji1787]
Maana ya internet penetration ni followers wengi insta sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo hapo maina kagemi hajafikisha hata 1m followers insta lkn millard kwake hamfiki hta kidogo kando na followers
20201215_162706.jpg
 
kuna mtu nilimwambia tofauti ya mtz na mkenya haiko kwenye chochote isipokuwa matumizi na matumizi sahihi ya akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Matumizi sahihi ya akili ni kujenga kibanda cha kuku katika mradi wa takribani miaka 50 na kwenda sio[emoji1787]

Au bado nyie mnaendekeza rural urban migration hadi hivi sasa, tuelezeni tujue jamani
 
Back
Top Bottom