komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Asante sana msemaji mkuu wa serekalimbezi itakuwa inafanya kazi nzito kwa siku kuliko kazi inayofanyika uwanja wa kenyata kwa mwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Asante sana msemaji mkuu wa serekalimbezi itakuwa inafanya kazi nzito kwa siku kuliko kazi inayofanyika uwanja wa kenyata kwa mwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kweli we bado lolani Kalu moja wapo ya journalist wazuri Kenya unasema humjui? VP Yule Leonard mambo mbotela alieshindwa kulipia gharama za matibabu akasaidiwa humjui pia sindio?Unajua maana ya limelight, tatizo pia simfahamu..pole sana jomba
Kwn uongo, kila sehemu hko ni mijibasi tu ndio mingiUnaelewa unacho andika ? Au unandika tu km unawazim[emoji57]
Leonard ni msanii alafu ona ulivyokua bwege, hospital bills wengi tu zinawashinda..Kweli we bado lolani Kalu moja wapo ya journalist wazuri Kenya unasema humjui? VP Yule Leonard mambo mbotela alieshindwa kulipia gharama za matibabu akasaidiwa humjui pia sindio?
Dogo mbona unaji changanya ? Au steam za muguka na Miraa? Weiye siunasema ma celeb wengi wakenya wanazo hela au sio wewe?Leonard ni msanii alafu ona ulivyokua bwege, hospital bills wengi tu zinawashinda..
Kwn kuwa na assets ndio kuwa na uwezo wa kulipia 1m cash sio
We ndio umechanganyikiwaNitajie msanii wetu ambae yupo kw lime light alafu anateseka
Dogo mbona unaji changanya ? Au steam za muguka na Miraa? Weiye siunasema ma celeb wengi wakenya wanazo hela au sio wewe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]tena tuwaongezee watakuwa 70M kwa sasaIla kwenye zile statistics zenu za mapishi zinaonesha wapo watumiaji wa internet million 45 Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwhyo internet users maana yake ni kw mtu mmoja mmoja sio[emoji1787][emoji1787]Ila kwenye zile statistics zenu za mapishi zinaonesha wapo watumiaji wa internet million 45 Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poor planning, kwn ni wakulima saccoPublic School in Lindi [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji538]
[emoji538][emoji731][emoji1241]
View attachment 1650772View attachment 1650773View attachment 1650774View attachment 1650775View attachment 1650776
Ww hata hujui unacho ongea ....kwani hujui mana ya side effect wew? Nchi ikiw na n high penetration of internet side effect yake lazima ionekaneSasa si hyo internet pentration inawachangia km ulivyosema..
Mida ingine kaa ukitafakari kabla ya kuandika vitu, unaweza kuwa maarufu na kupata 1bn views youtube lkn bado followers wakacheza millions..
Sio kila mtu anakupenda wewe wengine hupenda kazi zako na sio zote au hata kupenda walio karibu nawe kukachangia uone ni km wapendwa kumbe kuna flani kachangia
Kwhyo mnawazidi wasauzi au wale waarab kule north[emoji122][emoji122][emoji122]Ww hata hujui unacho ongea ....kwani hujui mana ya side effect wew? Nchi ikiw na n high penetration of internet side effect yake lazima ionekane
Nganya Ni ndege?Kwn uongo, kila sehemu hko ni mijibasi tu ndio mingi
Hii kitu niliona kw habari leo km sijakoseaAnother day another project. Kenya inajengeka kila corner[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Acha tuwaonyeshe maana ya barabara wala sio ule upupu waoAnother day another progress on the Nairobi Expressway. Kibaka road ya 9km imeshinda watanzania kumaliza[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1650833View attachment 1650835
Acha tuwaonyeshe maana ya barabara wala sio ule upupu wao
Mbona hii station inafanana na Muthurwa Market?[emoji23][emoji23][emoji23]Morooo moja[emoji91][emoji91][emoji91]SGRView attachment 1650710View attachment 1650711