Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Matumizi sahihi ya akili ni kujenga kibanda cha kuku katika mradi wa takribani miaka 50 na kwenda sio[emoji1787]

Au bado nyie mnaendekeza rural urban migration hadi hivi sasa, tuelezeni tujue jamani
Wewe ni mjinga ndio mana hata nchi yenu ilishindwa kujenga bus station leo ...mchina kawadangany na mastation yasio hata na biashara zaidi ya wasafiri uko hapa kupiga mayowe, kweli akil ni mali
 
Oneni hii certified nincompoop.

Najulia wapi mishahara ya watu?
Alaaa!!naona unakwepa mada sio kw kujitoa ufahamu, hapa hata ukanengua kivipi wazew wa media kwenu wakija kenya wanaonekana km walalahoi ukiwalinganisha na wenzao huku
 
Wewe ni mjinga ndio mana hata nchi yenu ilishindwa kujenga bus station leo ...mchina kawadangany na mastation yasio hata na biashara zaidi ya wasafiri uko hapa kupiga mayowe, kweli akil ni mali
Huo umbea uliupatia wapi?
Badala ya kunengua si mkubali tu mlibana matumizi ndio manake mpka leo mnahaha hamjui mtatoa wapi mabehewa
 
Alaaa!!naona unakwepa mada sio kw kujitoa ufahamu, hapa hata ukanengua kivipi wazew wa mdeia kwenu wakija kenya wanaonekana km walalahoi ukiwalinganisha na wenzao huku
Kukuambia najualia wapi mishahara ya watu ndo kukwepa mada!

Endelea kuota.
 
Mda mwingine huwa unafikiria kwa kutumia nini ww...[emoji848]unatia mashak sn....kwani uliambiwa hapo ni mahali pakuishi au ni station?
Kwani pale mbezi mnaenda kuishi, alafu magu anajua biashara kubwa kwenu ni ya mabasi..
 
Sema kukomalia vitu wala sio internet penetration, internet penetration maana yake sio followers midanganyika[emoji1787][emoji1787]
Rudi shule ua hta u google basi
Sijui km akili yako iko na akili au imenda likizo...kwa mara ya mwisho narudia ,nchi ikiwa na penetration kubwa ya internet manake users pia watakuwa wengi kitu kitakacho pelekea hata wale watu marufu katika nchi flani kuwa na followers wengi...kama hujaelewa nenda kafwate ada yako
 
Back
Top Bottom