Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Here is the location of the two towers being constructed 17frl and 20frl
2640397_F0568514-DD20-4D3B-9956-F2F8CBAF4D9F~2.jpg



🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 huyu hapa sio mm niliesema usinilaumu mm wala usiniletee hasira mm zungumza na technologyView attachment 1650917
 
Nimepost hiyo picha hapa knowingly because of you[emoji1787][emoji23][emoji1787]One of the towers is rising. Do you have any comment to make?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1650875
asee hiki nacho cha kupost humu, huku tz yamejaa kibao kilasiku watu wanayajenga tena watu wa kawaida tu nyie wakenya mumeona vitu vya kutupostia hizi projects ndogondogo [emoji23][emoji23]
 
asee hiki nacho cha kupost humu, huku tz yamejaa kibao kilasiku watu wanayajenga tena watu wa kawaida tu nyie wakenya mumeona vitu vya kutupostia hizi projects ndogondogo [emoji23][emoji23]
Yako wapi
 
Hata ikuwe google bush bado nakuambia kuwa inakudanganya[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23].
sasa wewe kunguni kama unajua kuwa kuna habari za ku update kwanini ulimwambia aende google map...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]?

mtu kashaenda sasa tena kajiongeza kaingia google earth....

ghafla unaleta stor za update[emoji2][emoji2] una bonge la wenge mzee masakuu
 
Huyo ni mkenya namba mbili kwa upumbavu humu.

1. Teargass

2. Komora

3. Nicxie

4. Magix Enga a.k.a janerose

5. Yosef festo

6. Zig lizla

Majinga sn [emoji3516][emoji3516]
huyo no.1
ni mkora flani ivi haujakosea hiyo nafasi ni super sana kwake zaidi ya thika high way[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hii kitu ya 7,000m² unataka kulinganisha na LBD ya 62,000m²? Are you really sane?[emoji23][emoji23]
And how big is the lot for a 62000 SQM LBD!? Maana hiyo if its the main building unazungumzia close to 15 acres of space.. let's say it's about 12 football pitches..

Nieleweshe Hii huwa mnapikaaa!? Au mnasema kweli!? If so how big is the foot print and how many floors does it have!?

Au mahesabu na gardens na footpaths, ponds na parking kwenye hii 62k SQM!?
 
Back
Top Bottom