Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karibuni jirani, Nairobi will be your India from next year 🤣👏
FB_IMG_16077997268981366~2.jpg
 
Hawa jamaa wanategemea Nairobi tu ,wakati bongo mikoa yote ina huduma nzuri na nafuu! Kenya unakuta hospital kubwa haina madawa maDaktari wamefungua ma pharmacy zao kwa hiyo wanakutuma huko ukanunue dawa🙂 mwisho wa siku wagonjwa wanaona Bora waende kwenye private hospitals.
 
Hawa jamaa wanategemea Nairobi tu ,wakati bongo mikoa yote ina huduma nzuri na nafuu! Kenya unakuta hospital kubwa haina madawa maDaktari wamefungua ma pharmacy zao kwa hiyo wanakutuma huko ukanunue dawa mwisho wa siku wagonjwa wanaona Bora waende kwenye private hospitals.
Bila kusahau migomo ya madaktari na wauguzi isiyoisha kenya.
 
Noma sana mkuu dah🤣🤣,ghafla uko disco kwa lazima.
Yaani nishida kwa kweli nilikuwa na wakati mgumu ikifikia usafiri wao unawaza Kwanza,vibaka wanakuwa wengi mlangoni ukikaa dirishani labda unatumia smartphone yako mwanangu unaibiwa tukianza swala la usalama Nairobi zero kuna eneo moja wanaita River road unaibwa mchana kweupe hakuna msaada wowote Ila maswali ya kisenge ndugu umeibiwa nini?😂😂😂😂😂
 
Noma sana.
 
Facts ni kwamba KDF imeshindwa kuwamaliza Alshabaab badala yake KDF wameuliwa wengi na silaha zao kutekwa na kuharibiwa, wakati TPDF ndani ya wiki mbili wamewashindia magaidi Msumbiji, zaidi ya facts za ushindi, ni fact gani tena muhimu za jeshi?
Facts ni kwamba majeshi ya Somali,Djibouti,Burundi,Ethiopia,Uganda na Kenya yanapigana na alshabaab.Punguza propaganda!
 
Back
Top Bottom